AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MTANGAZAJI wa Clouds FM, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’ na DJ Muli B, wamenaswa wakiwa kwenye pozi la mahaba huku tena wakiwa wamejisahau utadhani mume na mkewe.
shu hiyo ilitokea Agosti 17, Mwaka huu ndani ya Uwanja wa Kahama, ambapo walienda kwa ajili ya kutazama burudani za Serengeti Fiesta 2014 zilizokuwa zikifanyika siku hiyo.
Wakiwa nyuma ya jukwaa, wawili hao walionekana kubebana wakati wamekaa jambo lililowafanya baadhi ya wasanii waliokuwa nyuma yao kukonyezana na wengine kuulizana maswali ambayo hayakuwa na majibu kama ni wapenzi au laa.
Paparazi wetu apowauliza kama wana uhusiano wowote, wawili hao walikanusha na kusema wamepozi kama mtu na mfanyakazi mwenzake Clouds FM.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
mmeaza na nyie watu wajikali nyie msema kanaswa kama mmeishiwa udaku semeni ni wapatie
ReplyDeletecjaona pozi la mahaba hapo acha udaku mbeya mkumbwa weeeeeeee
ReplyDeleteKwa kwel ni mbeya kufa
ReplyDeletemmeishiwa story
ReplyDeleteBila umbea hamli,tunajua,ila kwa hapa mmelamba galasa.
ReplyDeletehaaaaaaaaaaaaaaa,nimecheka.
Deletekwan wakitembea tatizo liko wapi? hamna mwenye ndoa hapo..acha wale ujana
ReplyDelete