Ephraim Kibonde Wa Clouds Azua Mtafaruka Asubuhi ya Leo Agonga Gari na Kukimbia Traffic Wamshika Ubungo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Asubuhi ya leo Kibonde wa Clouds anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge. Trafiki aliingia katika gari lake nakumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde kagoma na kumtaka trafiki ashuke katika gari lake, trafiki naye kagoma kushuka. Mchezo ulioendelea Kibonde aliondoa gari na kuanza kupiga misele, akizunguka mitaa akiwa na trafiki huyo! Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kila kiunga cha jiji hususani eneo la Mwenge na Ubungo. Hayawi, hayawi yakawa, Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo nikashuhudia senema ya Kibonde na trafiki! Trafiki wa kike aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde iliyokuwa kasi, gari hiyo haikuonesha dalili za kupunguza mwendo. Trafiki alikomaa kusimama mkono wake ukiwa juu kuashiria kumtaka Kibonde asimame huku akipaza sauti katika radio call akisema ananigonga, afande, ananigonga! Akiwa katika hali hiyo, kuna gari ilikotokea sikujua ikakatisha kati ya trafiki na gari ya Kibonde ndiyo ikawa kigingi cha gari ya Kibonde na kutiwa mbaroni na Kupigwa Mitama kadhaa Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki ambapo kwa sasa amepelekwa Oystabay! Kwa utafiti wangu kidogo nilioufanya nikifukuzana na muda kuwahi kanisani, ni kwamba Kibonde na watu wengine aliokuwanao ndani ya gari lake walikuwa 'TINGASI'!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpumbavu huyo anafikiri muda wote ni muda wa kukipigia debe li CCM lake! Akome na akomaike

    ReplyDelete
  2. kibonde fata sharia nchi hii inasheria usifikirie umaalufu wako kwenye jahazi na mtangazo ya ngono ww upo juu ya sharia. stupid man

    ReplyDelete
  3. Sipendi mtu ashikwe hivyo hata kma hakufata sheria siwamkamate kwa nidhamu wanajua anapopatikana ningekuwa mimi ningewashtaki kwa udhalilishaji

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unajua Kaka inakuwa rahisi kuwalaumu Polisi kwa kutotaka kuelewa ila ulipaswa ujiulize Je ndio ungekuwa mwenye gari lililogongwa ungeweza kukaa kimya kwa kuona polisi wanamuacha Kibonde akikimbia baada ya kugonga gari yako na hali ya kuwa wanauwezo wa kumkamata?Zinduka kijana umaarufu sio ujinga.

      Delete
  4. anadhani hii nchi ni ya mjomba yake au umaarufu wake utamsaidia bila kufuata sheria eeeh! ss hilo ni funzo kwa wngne!

    ReplyDelete
  5. Mbondei akipata matako hulia mbwata! Mshamba na meno meengi anafikiri kuwa mtangazaji ndiyo kuwa juu ya sheria! Fedha itamtoka bora angemalizana na aliyemgonga mapema! Ulimbukeni kujifanya mtoto wa mjini! mxiuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad