AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mchezo huo uliomalizika hivi punde ulipigwa kwenye dimba la Stamford Bridge na Chelsea wakitoka kifua mbele kwa ushindi wa 2-0.
Diego Costa kwa mara nyingine alifanikiwa kuifungia Chelsea baada ya kufanya hivyo kwenye mechi ya kwanza.
Costa alifunga goli la kwanza dakika chache baada ya kipindi cha pili kuanza, na dakika kadhaa Hazard akawainua tena mashabiki wa Darajani kwa goli safi.
Leicester City watajilaumu wenyewe kwa kushindwa kupata matokeo chanya kutokana na kupoteza nafasi za kufunga mara kwa mara.
Matokeo mengine yapo kama ifuatavyo: Swansea 1-0 Burnley, Southampton 0-0 West Brom, Crystal Palace 1-3 West Ham
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
chelsea ndio mabingwa wa msimu huu.
ReplyDeleteKweli kabisa. the blues Ndio bingwa msim huu.
ReplyDeletearsenal ndie bingwa..chelsea hamna kitu
ReplyDelete