Ewe Rais Kikwete! Tenda Wema Nenda Zako, Usingoje Shukurani itakuletea Matatizo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakati wewe ukipambana kuleta maridhiano kila panapokuwa na migogoro inayohatarisha ustawi wa taifa, wengine wanafanya njama za kukwamisha maridhiano na kukudhihaki. Ewe Rais Kikwete, tenda wema nenda zako...... Mungu yuko upande wako na wenye hekma wanakuelewa vyema na watakuwa wanashukuru kwa jitihada zako.

Wakati ukijishusha ili kutoa ushirikiano na kutoa mwanya watu watoe yao ya moyoni bila woga, wengine wanatumia mwanya huo kujikweza na kutaka kujionesha wao ni akina nani na ikibidi kuvuruga hali ya mambo ili ikibidi udhalilike. Ewe Rais, Kikwete, tenda wema nenda zako!

Wakati mataifa mengine na ulimwengu ukitambua mchango wako katika jamii, nyumbani wengi wanakubeza na kukukatisha tamaa, Ewe rais Kikwete, endelea na moyo wako wa kuwa mvumilivu na mtulivu wakati wote kwani wengi miongoni mwetu, katika yale yanayotokea, tungeweza kupata jazba na kufanya maamuzi ya hasira!.

Ewe rais Kikwete, Tenda wema nenda zako , wala usingoje shukurani kwani itakuletea matatizo. Mungu akujalie moyo mwepesi na utulivu kila unapokabiliana na changamoto kwa mambo yenye maslahi ya kitaifa na endelea kujishusha kwani kila anayejishusha basi huyo atakwezwa na kila anayejifaharisha ili watu wamjue yeye nani, hatimae atashushwa!.

Mungu akujaalie busara zaidi na hekma uweze kuendelea kuwa na moyo wa Ihsani.


Wachache wa kuelewa na waelewe, wale wa kuchanganyikiwa na wachanganyikiwe na wakutukana kwa sababu ya chuki nawatukane.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani mbona hueleweki na post yako wewe mahaba niuwe?!ewe rais ewe rais kibao ndio nini sasa mahaba niteke kama boko haramu au?!kifupi sijaoba ulichoandika humu zaidi ya uharo tuu!

    ReplyDelete
  2. Kaua uchumi wa nchi! Kazi yake ni konda wa ndege

    ReplyDelete
  3. Hivi anamaliza lini tumechoka Vasco Dagama! Kipindi kilichobaki naona kama miaka 50! Aondoke atupishe hata kesho

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ninyi nyote mnaoponda ni chadema,mtakufa na roho mbaya yenu msokua na shukran. Mnyonge mnyongen lkn haki yke..... hata mbowe cku moja alsema.Big up sn Jk kwan umefanya mambo mengi ya maana na ya msingi sana,hao wasoona ni vipofu. Mxuuuuuuuuu

      Delete
  4. hata simba Kuna wkt huwa anahuruma kwa viumbe, Kikwete anamazuri yake pia, sidhani kama kila baya lililotokea limeanzia mikononi kwake, shukrani ni kitu cha bure

    ReplyDelete
  5. Rais amevurugwa sababu kama umesikiliza hutuba yake ya mwisho wa mwezi hata yeye anajishangaa alisema pumba gani wakati wa ufunguzi wa bunge la katiba. Eti anadai alikuwa anatoa maoni yake, wakati kazi yake ilikuwa ni kufungua bunge. kwanini hakutoa maoni wakati wa mchakato wa rasimu? Kumbuka pia walikiuka sheria tangu mwazo kwa rais kuanza kabla ya warioba, kwani hawakujua nafasi ya rais mpaka wakaunga sheria wario ndiyo aanze then rais afate?

    ReplyDelete
  6. Katika wodi ya wendawazimu, wendawazimu wao kwa kwao huona kuna baadhi yao ni wendazimu. Sasa ni hatari kuongozwa na mwendawazimu wa wendawazimu

    ReplyDelete
  7. Mtapiga kelele weeeeeee lakini aCCM haitotoka madarakani kwa miaka ishirini ijayo (chaguzi nne).. sioni chama kitachoitoa CCM.. hao chadema??? Ndani ya chama tu hawaelewani na udicteta wa njenje leo tuje wapa nchi??? Hapana... kweli CCM imefanya blander kama serikali zingine zinavyofanya ila tatizo hakuna chama cha kuipa dola kwa sasa zaid ya CCM.. Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania..

    ReplyDelete
  8. Daima dumu ukiwa nacho hukithamini unathamini usichokuwa nacho cku ataondoka ndo mtajua thamani yake walimsema sana mzee Mkapa ila alivyoondoka mkasema afadhali na Mkapa ila huwezi mridhisha kila binadam ndo hivyo tenda wema nenda zako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ninyi ndg zangu hapo juu mmenena neno. Acha wapige kelele ambazo hazitaing'oa kamwe ccm wataendelea kuchanganyikiwa daily mpka familia zao ztavurugka kwa roho mbaya walonayo icyo na shukran.TTutazd ipigiakura ccm daima na ipo kwenye damu.milele na milele.

      Delete

Top Post Ad