Hamisa Mabeto Akanusha Vikali Umbea Kuwa Ana Mabwana Wengi Wanao Mweka Mjini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo wa Haja Hamisa Mabeto Amekanusha Vikali tetesi zinazoongolewa Kwenye Mitandao ya Kijamii Hasa Instagram Kuwa Ana Msululu wa Mabwana Wanao Mweka Mjini, Hivi Karibuni Kuna Tetesi zilizuka kuwa Anatoka na DJ Choka, Pia Tulisikia Anavalishwa Pete na Seth Aka Bikira wa Kisukuma .
Hamisa Amekanusha kwa Kusema Yeye Hana Mtu kwa Sasa na Wala Maisha yake hayategemei Mabwana na pia Ameongelea issue ya Kuvalishwa Pete na Seth kuwa ilikuwa ni Kick tu ya Kunogesha Party ya Instagram iliyofanyika siku si nyingi Hapa Dar .
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tangu Domo aseme anataka mwanamke wa kumpa kiki basiiiiii,Hamisa mobeto na penny wamecharuka mitandaoni kutafuta umaarufu,hatuwajuiiiiiiiiii,relaxin jamaniiiiii,we dont know youuuuuuu,tunamjua Wema sepetunga tu.

    ReplyDelete
  2. huyu dada si alikuwaga kenya anajiuza karudi bongo tena?makubwaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad