Hivi Unamchukuliaje Mpenzi Wako Mwenye Majibu Kama Haya Ukichat Nae

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee
mfano

1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu
yeye hujibu asante au thanks badala ya kusema i love you too mpenzi wangu

2.ukimtumia vocha hukaa kimya ukimpigia hujibu asante nimeipataa.

3.ukimwambia nimekumic mpenzi wangu hujibu asante au thanks au k thanks

4.ukimwambia kuhusu sex huandika k au sawa au bila kujibu

jee unamuongeleajee mpenzi kama huyu kwa wale wataalamu saikolojia
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. That's very simple, she or he is not interested with you. Ni watu mko hapo mnao kill time to each other muda ukifika mmoja wenu au wote wawili akimpata yule hasa anayemfikisha ndio imetoka hiyo. Pole sana lakini as long as amekuonyesha hivyo anza kupiga mahesabu kabisaaaaa my friend. Kwanza acha kabisa ku text yeye yaani uache kabisa na kama akiku text na wewe fanya the same kama anavyo au alivyokufanyia halafu pili anza kuangalia upande wa pili wa shilingi. Anza kumtoa kwenye mawazo yako kabisaaaaa hata ikifika siku ya siku haitakushangaza sana na pia anza kupunguza mazowea naye. Kama kuna vitu mlikuwa mnafanya au kuzungumza pamoja acha mara moja. Jitahidi sana kumtenga katika mambo yako hakikisha humshirikishi katika jambo lako lolote linalohusiana na maisha yako ya baadae. Kaa kimya kabisaaa jifanye kama vile huoni wakati huo huo unaendelea na maisha yako. Huyo sio mtu bali ni mnyama. Ni hayo tu.

    ReplyDelete
  2. mi sikuizi nimeamua kuupunguzua moyo wangu kazi unasukuma damu mapenzi nimeiachia wallet stak sheeeeeedaaa

    ReplyDelete
  3. hahaha kabisa mdau hapo juu achia moyo ufanye kazi yake ya kusukuma damu na mengneyo sio kuhangaisha moyoo kwa ajir ya mapenz mapenzi mwachie mzee wallet atamalizana na kila kitu..no money no honey..kwa sasa huna pesa huwez kumiliki mpenzi sana sana utatombewa na wenzako ili mpate..maisha ya sasa hayana mana ya kujiumiza na mapenz wewe unamwaza yy na yy anamwaza mwingne

    ReplyDelete
  4. Duuuuh inanihusu hiii ila nishatoa moyo wangu huko muda mrefu tumebaki km kaka na dada sabb cpendi kuhangaika sana

    ReplyDelete
  5. Ni kama hana mapenzi ya kweli na wewe,
    lakini kwa ushauri ungemuuliza pengine ndio hao ambao hawana sanaa ya mapenzi.

    ReplyDelete
  6. Hey thats good ,jamani kina dada tusijidhalilishe kwa hivyo,kwanini wewe umtumie dola,kwanini wewe umulize sex,kwanini wewe umwambie unampenda kwa maandishi upendo upo Rohoni ,keep quiet and do action.
    Yamkini huyo kaka anakupenda sana ila ni mpole ila wewe unakuwa kama mtoto sasa ,i love you,miss you ,why dont you pop in to his place and be with him just action.

    Mimi binafsi sipendi kuambia hivyo vimaneno,ni kwa sababu wewe mdogo utagundua kuwa havisaidii wengi walituambia hivyo and they dont mean.

    ReplyDelete
  7. teteteteeee......ukiona mtu anakujibu short jua kua hakupenndi achana nae kabisaa utaumiza moyo na kuupa moyo kazi isiyo sahihii

    ReplyDelete
  8. Lets change,lets not take their responsibility a man is supposed to buy you vocha if you buy for him he will send to the one he love.

    why because we are taking their responsibilities, doesnt mean not assit each other but you check if necessary
    cheers

    ReplyDelete
  9. Kwakwel mdau uliye uachia moyo kaz yakusukuma dam tu nimekupenda bure Tupo pamoja

    ReplyDelete
  10. hakuna upendo hapo, unakuwa umegeuzwa mtu pesa…!

    ReplyDelete
  11. Nimekuelew mdau hapo juu

    ReplyDelete
  12. hana upendo na wewe wa kimapenzi bali wa kawaidda kama binadamu yeyote.

    ReplyDelete
  13. Hata mimi huwa sipendi kujibiwa majibu ya mkato!!!Yaaaaaaaaaani sipendi kwa kweli!!

    ReplyDelete
  14. mhh nikweli msemayo wadau tuwachie moyo kusukuma damu but moy unapenda unachokitaka hiyo ndo shida..........

    ReplyDelete
  15. Majibu shortcut hata mm binafsi yananiboa sana,lkn ukiona hvyo ujue huna chako na inawezekana waleti ndio tatizo

    ReplyDelete
  16. Mapenzi ya siku hizi ni wizi wizi ,ikiona hivyo hujue hakuna mapenzi ya dhati



    ReplyDelete

Top Post Ad