Makalio Makubwa ya Aunty Lulu Yasababisha Ajali Bara barani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya 
MSANII wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na makalio yake makubwa, anapokuwa anatembea barabarani husababisha ajali kwani baadhi ya madereva wakware hukosa umakini kwa kumkodolea macho.

Akizungumzia makalio yake na matiti anayodaiwa kuyabusti kwa dawa za Kichina, Aunty Lulu alisema: “Unajua umbile langu linawachengua sana baadhi ya wanaume, achilia mbali hilo la kusumbuliwa, wapo baadhi ya madereva ninapokatiza barabarani hunikodolea macho na kushindwa kuwa makini.

“Matokeo yake baadhi hugonga magari mengine na wengine hujikuta wakipeleka magari yao pembeni bila kujijua na kupata ajali, uroho wao unawaponza.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umekosa habari za maana unatuletea za matako hapo huna adabu mwandishi watanzania tunataka habari za maana za mstakabari wa nchi yetu kuna katiba,gas,migogoro ya ardhi,uwekezaji na michezo badala yake unatuandikia matako!!!NYAMBAFU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkuu hapa ni udaku special habari nyepesi nyepesi. kama uko interested na "hard news" kama hizo ulizozitaja hapo juu hapa si mahali pake

      Delete

Top Post Ad