Maneno ya Diamond Kwa Wema Kuwa na Marefiki Wapenda Starehe Yamchoma Vikali Aunt Ezekiel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Star wa filamu nchini Aunty Ezekiel anadaiwa kuchomwa vilivyo na maneno ya Diamond kwa Wema Sepetu yanayodaiwa kumgusa yeye pia moja kwa moja kama rafiki wa Wema…

Diamond juzi alisema  kuwa Wema anapenda sana starehe na mashoga wapenda kujirusha badala ya kufanya kazi ili kujiletea maendeleo kwa kutumia fursa aliyonayo sasa.
Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na Aunty kikizungumza Udaku Special jana kwa sharti la kutotajwa jina kilisema kuwa baada ya Aunty kuona alichoandika Diamond aliachia msonyo wa kufa mtu kuonyesha hakupendezwa hata kidogo huku akibaki kuumia.

“Urafiki wa Wema  na Aunty muda si mrefu utakuwa kama ule wa Kajala, Aunty anataka kumuacha Wema na bwana’ke yeye achukue hamsini zake” kilisenma chanzo hicho
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nenda kwa mumeo aunty

    ReplyDelete
  2. Nyie team wema
    Na taka jib kwa nini huyo madam anapenda watu wenye mafanikio kwenye shughuli
    TID alipokuwa juu kimuziki madame wenu akajiweka
    Blue alivyoiti akamrukia hadi TID akamaindi akamtungia wimbo wa demu kicheche
    Marehemu Kanumba alivyokuja na kuiti kwenye movies madame mbio akajiweka kwake
    Chaz baba akiwa twanga pepeta atoa wimbo wa mwana dar es Salaam mbio madame wenu kajitahidi
    Diamond akaiti na kamwambie pamoja na mbagala akazoa tuzo 3 za kili mbio madame wenu kajiweka kwa dogo na akapunguza miaka Kila siku anajifanya mtoto umri umeganda
    Kama ana nyota mnavyodai kwa nini anakimbilia wanaofanya vizuri na pesa nzuri kwa wakati husika
    Madame wenu ni opportunist kwa wenye mafanikio na pesa za
    Ndio maana anajiweka kwa ambao nyota zao zinawaka kwa bidii zao binafsi mifano hapo juu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe jiweke.

      Delete
    2. Nimekupendaaaje mdau,ajiweke kama Ni rahis yuone kama atapendwa,kama kweli wananyota zinang'aa mbona wakiachana hawaendelei kung'aa?acha wivu wa kisenge,Ni ukwel kua Wema Ni mmke mwenye bahti.

      Delete
  3. Mke mwenye bahati!!?? Mavi ya chooni.

    ReplyDelete
  4. eti mke wa bahati why asimchuwe asiyejukana tuone iyo nyota

    ReplyDelete
  5. mtaro wenye bahati ya kutombwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Kabisaa ni mtaro wa mavi.halafu Dai ukiona Demu hasikii namashoga dawa nikumbandulia rafiki zake ili akome.akisogeza rafiki bandua vaa mfuko suguaa mpk akimbie akisikia huyo mtuwako kana kwanikakushika lazima watagombana naushoga utaisha

    ReplyDelete
  7. Kama ana bahati mbona hiyo bahati hatuioni kwake mwenyewe Kila anachofanya kila fail wapi endless fame, my shoes TV show.
    Anashindwa hata Joyce Kiria
    Kazi ilobaki ni kung'ang'ania mtoto mdogo domo amuoe Kila anaiti sana na pesa inaingia
    Kwa nini sio dito, mataluma au chegge au mkubwa mwenzie professor J, Sugu na Afande Sele
    Domo shituka Wewe hauna base nzuri ya kipato na familia yako ni kima cha chini acha kupoteza muda na pesa zako na huyo kikongwe
    Hesabu zake umuoe kisha likitokea la kutokea mgawane vimali ulivyochuma kwa kuangukiwa usiku na mchana
    Achana na hilo gari la city

    ReplyDelete
    Replies
    1. Gari la city lile la kuzoa uchafu?
      au lile la kunyonya mavi?

      Delete
  8. Akome akae kwake mambo ya kufatana yamepitwa na wakati

    ReplyDelete
  9. Aunty Ezekiel, hebu nenda kwa mumeo......kwa nini uishi maisha ya kuhuni hivyo kama hujaolewa???

    ReplyDelete
  10. anti gume gume

    ReplyDelete
  11. wewe mbwiga ulosema huo mlupo una bahati msenge kweli wewe,kama anabahat si angeshaolewa? huyo ni shama la ujamaa kila mtu analimaaaa akichoka anaacha

    ReplyDelete
  12. Wabongo wanamichekeshaga,eti kuolewa ni bahati,Akili finyu zap zooote ni kuolewa.ndo maana mnadhalilishwa na ufukala wenu.

    ReplyDelete
  13. WEMA NI SHAMBA LA BIBI KILA MJUKUU ANAJICHUMIA MAZAO,SHAME ON YOU ALL TIMUWEMA!

    ReplyDelete

Top Post Ad