Dudu Baya: Sijabahatika Kumpata Mwanamke Ninayemtaka, Nakutana na Machizi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Hip Hop kutokea Mwanza, Godfrey Tumaini aka Dudu Baya amesema kuwa majanga anayopata kwenye mahusiano yake yanatokana na kutompata mwanamke anayemhitaji.

Akizungumza na Mkasi TV hivi karibuni, Dudu Baya amesema wanawake wengi anaokutana nao wanakuwa ni machizi.

Kwanza sijabahatika kukutana na mwanake ambae mimi namtaka, nafikiri Mungu bado hajanipa huwaga nakutana na machizi, kwa sababu mimi sipendi, mwanamke aliyelelewa na kufundwa vizuri vitu vya ndani huwezi ukavitoa nje. 

Kwa mimi binafsi siongeagi  kwa wanaume wengine, napenda sana siri za familia zibaki kuwa siri za familia. Kwa mfano huyu jinsi alivyoenda kwenye media asitarajie nimtamrudia kabisa, ile tabia ya kwenda kwa jirani na kanga moja ikianguka? Kweli kabisa kicheni party zinaendelea lakini hazisaidii kitu chochote,” alisema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kumanyoko chizi mwenyewe, kumkata mama yako sikio unafikiri sio uchizi huo.laana hiyo kwanza mwanmke gani atapenda kuishi na mme tegemezi ulevi, umalaya, bangi vyote vyako.Danganya watu wa Dar sisi watu wa KISESA mwanza tunakujua A to z

    ReplyDelete
  2. Vipi rafiki yako H-BABA ameshamaliza nyumba yake BUJORA? ulimtapeli kumtafutia kiwanja kilichouzwa mara mbili. Msaidie mama yako anateseka sana afadhali na mdogo wako amefungua duka la vifaa vya michezo hapa kisesa.chizi mkubwa we.

    ReplyDelete
  3. heeee majanga anatafuta kick naye

    ReplyDelete
  4. wewe mwenyewe chizi fala wewe, mwanamke wa kutulia hawezi kukubali mtu kama wewe,hao unaopata ndio type yako

    ReplyDelete
  5. Wanawake mko na shida,huyu nae ni mtu wa kuitwa mume kweli?
    vituko tangu akiwa mdogo.

    ReplyDelete
  6. Ushauri wa bure. Mwanamke anayekufaa sana wewe ni Hadija Shaibu a.k.a. DIDA, mamaa ya big brother, mnapendeza sana kuwa mke na mume.

    ReplyDelete
  7. dida size yako kaka

    ReplyDelete

Top Post Ad