Mkurugenzi TBS Jela Mwaka Kwa Matumizi Mabaya ya Madaraka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Kwa Matumizi Mabaya ya Cheo chake na Kusababishia Serekali Hasara ya Mamilioni.
My Take: Naona kama Kifungo Kidogo Sana Hicho , Nahuhakika Huko Jela Kuna watu wamefungwa Miaka Kadhaa kwa Kesi za Kuku Tu ila Huyo Mamilioni ya Hela Anafungwa Mwaka....Je wewe Unalionaje Hilo?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndiyo mfano mzuri unaanza, nakwambia watafungwa wengi baada ya kipindi cha Kikwete kuisha, haya!!!! mafisadi mfano ndiyoooo huooo umeanza, kaane chonjo saaaana baada ya 2015!!

    ReplyDelete
  2. Hawa vigogo ndio waribu wa hili Taifa, lakini hiyo mwaka mmja angalau ni kidogo, bila shaka yaweza leta matumaini, kwa hapo baadae kwani itakuwa zaidi sio mwaka mmja tu, kwa atayeharibu au kufanya ufisadi, kwa hili Taifa, kwa hiyo wote itakuwa sawa, awe mwizi wa kuku au, ana madaraka furani kayatumia vibaya kwa masrahi yake wote kifungo, kitaenda sawa sawa,

    ReplyDelete
  3. Enzi ya mwalimu pia angepigwa viboko 24 kumi na 12 wakati anaingia jela 12 wakati anatoka akamuoneshe mkewe

    ReplyDelete
  4. Huyu mzee mimi namjua kapitisha mizigo mingi sana pale bandarini. Ndio maana nchi hii kuna watu wachache ndio wanaoifanya nchi hii iwe masikini

    ReplyDelete
  5. yani majitu kama haya ndiyo yanairudisha hii nchi nyuma sana, mwaka mmoja jela ni mdogo sana, alitakiwa apigwe mvua nyingi tu ili iwefundisho kwa mafisadi.

    ReplyDelete
  6. malipo hapahapa duniani

    ReplyDelete

Top Post Ad