Najuta: Nilioa Mke Kwa Kuvutiwa Sura na Umbo Lake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana! Mwaka jana mwezi wa tatu nilifunga ndoa na mke wangu. Tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume. Kitu kikubwa kilichosababisha nikamuoa ni sura yake ya kuvutia, sauti yake tamu pamoja na umbile lake kwa ujumla. Kiukweli ameumbika sana.

Tatizo alilo nalo mke wangu ni kwamba kwa sasa hakamatiki! Hatulii. Anatembea hadi na marafiki zangu. Kibaya zaidi ni kwamba siku hizi kila nikitaka kufanya naye mapenzi ananiambia hajisikii kufanya hivyo. 

Ameanza kunidharau na kuniona mimi sina hadhi kwake. Inaniuma sana.

Wazazi wa pande zote mbili wamejaribu kulitatua hili bila mafanikio.

Sasa nimeona kabla ya kuchukua maamuzi mengine mazito nimeamua niwashirikishe mnipe ushauri wenu. Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole wanawake ndo walivo we mwache aende zake maana ukimung'ang'ania atakuletea ukimwi ufe kabla ya sku zako. Imeandikwa kuwa ndoa yaweza kuvunjika kwa uzinzi.

    ReplyDelete
  2. Pole wanawake ndo walivo we mwache aende zake maana ukimung'ang'ania atakuletea ukimwi ufe kabla ya sku zako. Imeandikwa kuwa ndoa yaweza kuvunjika kwa uzinzi.

    ReplyDelete
  3. Nawe ushambiwa huzuri si hoja, si uanze mbele tu, au wasubiri ukimwi au ebora, manake hata ebor inambukiza kwa kugusana, na unavyosema kitombi, asije akagusana na hayo, manaake hata Tukisema bongo hakuna ebola, bongo iko Africa, na mke kitombi kila apitae nae ataka pita

    ReplyDelete
  4. uzuri wa mwanamke si sura wala shape bali ni tabia.

    ReplyDelete
  5. ulitamani uzuri wake kabla ya kuchunguza tabia .akikushinda aachane nae wanawake wapo wazuri kuliko yeye pia wenye tabia nzuri.pia nakushauri achana naye asije akakuletea ukimwi.

    ReplyDelete
  6. mke wako alikuwa mlaya hata kabla ujaowa nadhani hata marafiki zako walikuwa wanajua .umalaya hajaaza kwako ,kama ndoa ulifungia kanisani nenda katengue kama msikini hivyo hivyo usijali kabisa atakuuwa kaka.

    ReplyDelete
  7. Nitajie jina la mkeo nikusaidie ushauri

    ReplyDelete
  8. Sio sophia, anaitwa Farida tunaishi segerea

    ReplyDelete
  9. huyo mwanamke kaka achana nae

    ReplyDelete
  10. Ana pepo wa ngono mpeleke kwenye maombi tu ndiyo dawa

    ReplyDelete
  11. Naamini Mungu ndiye alikupa huyo mwanamke basi atabakia kuwa wako cku zote hizo ni hila za shetani tu muombe mungu ambadilishe mkeo kwan sio malaya angekuwa malaya usingefika nae hapo ulipo kumbuka unamamlaka ya kushinda majaribu uckate tamaa....mungu atakusaidia

    ReplyDelete
  12. well said anoy 2:17

    ReplyDelete
  13. Ashurah wa mabibo.

    ReplyDelete
  14. Kaka,jarb kkaa nae ujue tatzo,,yamkn akkupa humtomb vzr

    ReplyDelete

Top Post Ad