Nina Mimba ya Mbasha sio Gwajima Kama Watu Wanavyosema-Flora Mbasha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima,

Flora amesema hayo leo alipokuwa akichat Live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live kinachofanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa Sita kamili.
Flora amesema kuwa hawezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu ambae ni ndugu yake hivyo Mchungaji Gwajima ni mjomba wake na si mpenzi wake kama ambavyo watu wamekuwa wakizusha kwa lengo la kumchafua na kumshushia hadhi."Hayo ni maneno tu ya watu mtaani ila Mchungaji
Gwajima ni mtumishi wa Mungu na ni uncle wangu ninawezaje kuwa na mahusiano na uncle wangu..? "Alihoji Flora.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

35 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa we matako mdaku hasaaaaaa hay maswala ya mimba mbona apo ajaliongelea fala we unapenda kutuweka attention fyuuuuuuuuiuuuiuuuuiu!!!!

    ReplyDelete
  2. Ya gwajima wala sio ya mbasha malaya wewe asiokujua nani

    ReplyDelete
  3. Kumamae zako Flora! Malaya mkubwa wewe! Na dhambi ya uzinzi itakufuata mpaka kaburini kwako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Biblia haisemi hivyo,hata uwe na mzigo wa dhambi namna gani lakini ukapata bahati ya kutubu dakika ya mwisho kabla ya mauti,utaingia kwenye ufalme wa mbinguni.
      Ole wako wewe unaetuka maana dhambi hazina mzani

      Delete
  4. Mtadanganywa sanaaaaaa anafuta aibu huyooooooooooo,ipo siku tu Mungu atawaumbua wachungaji fake wooote.eti mchungaji gwaji ni Mjomba wako!!!Mi hawa mashetani wamenitokaaaaa,disgusting

    ReplyDelete
  5. Haipendezi mtumishi wa Mungu kuwa na scandal kama hizi, jitambue bibie!!!

    ReplyDelete
  6. mambo ya ngoswe aachiwe ngoswe mwenyewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwel baba wa mtoto anaemjua ni mama mbona hao wanaolalama mama zao wamewasingizia baba zao sema hawakuwa maarufu tu..flora sio bwege abebe mimba ya gwajima na ingekewa hivyo angebaba cku nyingi mlichonga sana akaamua kubeba tena ya mbasha na anajua mnasuburi mtoto azaliwe mtashangaa mbasha mtupu..

      Delete
  7. Nilishamdharau huyu dada

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani wewe nani kwake?
      Mbasha ndio kila kitu kwake
      na ndio maana wako wote.

      Delete
    2. Mi nashangaaa Sana Kwan mpaka utukanee yeye anajijua na mungu wakeee,,,, mwenye kuhukum Ni munguu.

      Delete
  8. lazima upate mimba malaya wee, alivyokufungia hotelini ulizani mimba haitaingia , haya sasa umeona kitenesi tayari ndo unarudi kwa mumeo eti tumepatana, nendakule watu wale na huyo hendsome uliyemkimbia ukafata pesa ,

    ReplyDelete
  9. mjomba baada ya kubeba mimba ndo mjomba , nenda huko umetia aibu injili ya yesu. hatukutaki tena jukwaani mzinifu mkubwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sema wewe humtaki,sisi tunaojua injili tunamtaka.
      ni shangwe kwa kuwa atakuwa amesimama baada ya kuteleza (kama kuna ukweli)
      maana tumeambiwa tusimhukumu mtu,bali yeye bwana wa majeshi ndiye ndiye mwenye kuhukumu kwa maana ndiye ajuaye nani
      aliyekamilika.

      Delete
    2. Anonymous 8.41.Kwani kabla alishasema Gwagima ni mpenzi wake?
      wewe una mangapi yasiyo na kibali machoni kwa Mungu?Toa boriti kwenye jicho lako,ndipo utaona kwenye jicho la mwenzio.

      Delete
  10. WATASHINDANAAAAAAAAAAAAAA
    LAKINI HAWATASHINDA.

    ReplyDelete
  11. yani mbasha akimrudia huyo flora ipo atakuja kutombwa hata yy mwenyewe mbasha asikubari kumrudia huyo mwanamke malaya sana afu kakutia aibu sana na mimba akuletee yani ulee mtoto cio wako loh!bora uendelee kupiga mdogo wake ndo itakua komesha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haleluya,sifa na utukufu ni kwa Muumba,maana MBASHA'S wako vizuri SANA.

      Delete
    2. Anaejua mimba ya Nan mbasha na frola usitukane wakunga na uzazi ungalipo. ,,,,huna haki ya kumuhukum frola aachweee mungu ndie kwenye kibalii

      Delete
  12. Wadaku subirini aibu.

    ReplyDelete
  13. Ni nani aliye mkamilifu duniani?Tumeagizwa na muumba tutubu,tusamehe,
    kama Florah alifanya kweli basi ametubu.

    ReplyDelete
  14. Tukihesabiwa maovu ni nani atasimama?

    ReplyDelete
  15. Mbasha mwenyewe alikuwa halali kwa amani bila Florah wake,Mama wa mwanae Elizabeth,na ndiye aliyechaguliwa na Mungu.Nashangaa sisi wa pembeni tunayavalia njuga.
    Tuwaaache walale jamani,Mungu akisema ndio hakuna wa kupingana nae.ILIKUWA NA SASA
    IMEKUWA.

    ReplyDelete
  16. Nimegundua ya kwamba watu wengi hawapendi wawili( wapenzi) wakipatana na kwamba tumekuwa watu wa kushabikia tusioyajua,hivi kuna mtu aliyewahi kumuona Flora au Mbasha
    mwenyewe akichepuka zaidi ya nasfi zao wenyewe?sasa ifikie tuone kwamba nafsi zao zimewasuta na sasa wako pamoja na wanalea mtoto wao.NDOA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.MUNGU WETU ENDELEA KUSIMAMA KWA FAMILIA HII,maana sio Mama,Baba,shangazi,mjomba,dada,mchungaji,jirani na hata Udaku wenye
    mamlaka na ndoa hii.AMINAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  17. Endeleleeeni kudanganyana Flora na mbasha wameachana hawakai nyumba moja.kila mtu kivyake

    ReplyDelete
  18. hana lolote huyu mdada, itakua amejadiliana na GWAJIMA KWAMBA ILI AKATE KELELE ZA WATU, APATE MIMBA YA MBASHA, jamani huo ujomba gani mumeo asiutambue hadi mgombane! au hakuepo siku ya harusi ukashindwa kumtambulisha mapema, duu hii hatari ni zaidi ya Boko haramu,

    ReplyDelete
    Replies
    1. big up mdau, kweli mume hajui ndugu wa mke na wakwe! kalabagao

      Delete
  19. mmmmmhh haya safari njema mi napita tuuuuuuu

    ReplyDelete
  20. Ama kweli ukistajaabu ya Musa........!!

    ReplyDelete
  21. Ama kweli ukistajaabu ya Musa........!!

    ReplyDelete
  22. rudi kwa mumeo flora tafadhali mkamilifu hakuna duniani si wewe wala mumeo hakuna mkamilifu cha msingi ni kusameheana

    ReplyDelete

Top Post Ad