Picha za Shilole Akiwa na Kanga Moja Kitandani Zavuja Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Picha za Kimahaba za Mwanamuziki na Nguli wa Bongo movies mrembo Shilole Zimevuja Mtandaoni, Picha hizo zinazoonyesha alikwa ndani ya Kanga Moko Akiwa na Mpenzi wake wa sasa Nuhu Mziwanda...Shilole alipoulizwa kuhusu Picha hizo alisema haya:
Kweli hizo picha ni zangu na Nuh (Mziwanda), tulijipiga kwa ajili ya kumbukumbu na tulikuwa na muda mrefu hatujiachia si unajua tena Mwezi Mtukufu?
“Unajua simu yangu haina password na nina watu wengi wa karibu so nahisi ndiyo wamezivujisha na nikimjua namtoa kabisa kwenye network yangu maana siku nyingine anaweza kunifanyia jambo kubwa baya.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama uko na mpenzi wako si aone tu yeye kwani mpaka upige picha, acha zivuje malaya wewe kama vipi piga za uchi mkiwa mnafanya mambo utuwekee tuone mbwambwa lako

    ReplyDelete
  2. Huyo mwanamke ni muongo mkubwa sana. Hizo picha hakuna mtu mwingine yeyote aliyezivujisha zaidi yake yeye mwenyewe. Ni yeye ndie amezivujisha kwa utashi wake yeye mwenyewe. Na ni katika njia za kutafuta kiki. Sasa hatujui kama ni njia mojawapo anayoitumia kukarogo hako katoto kasije mkibia. Kwa Maana hawa wanawake wazee na vikongwe wana mambo yao dah!

    ReplyDelete
  3. Hahah bib kidude. Na diamond. =shilole +nuhu

    ReplyDelete
  4. Aaaaaa mmbunge mtarajiwa wa nzega,sorry,igunga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakawii kusema alibakwa huyo ndio zake mmbunge mtarajiwa wa igunga mi nasubiri wimbo wake na j.lo cjui lini

      Delete
  5. Hatumtaki kicheche ss

    ReplyDelete
  6. kwa style hii mziwanda lazima lazima ajichole tatoo nyingine kwenye ya baby shishi kwenye dushe

    ReplyDelete
  7. Eti anandoto za kugombea ubunge cjui kupitia chama gani kisicho na maadili kitamsimamisha yeye anashindwa kujitawala ataweza kutawala maelfu ya watu..na wale wanao wakubwa vile umeewambia huyo dad au anko upo nae na kanga moko...tujiheshimu na kuheshimu watoto wetu sio kila kitu lazima waone au wajue

    ReplyDelete
  8. Chama cha kina Komba kinamfaa sana manake wabunge wake kila leo na kashfa za picha za ngono mitandaoni! Ni sawa tu atapata ubunge

    ReplyDelete
  9. Kavujisha mwenyewe kutafuta kik.. naskia alisema anataka kugombea ubunge kupitia chama cha CHANETA!! Thn nakaonea huruma sana haka katoto.. cjui hakana wazazi.. kanaenda kujichora kabisa kwa ajili ya sampuli ka hizi??? Hivi anazijua au anazisikia??? Tukaombee mungu kasije siku kujja kutaka kukatilia mbalini kamkono kake kenyewe kutoa tatoo.. wanaumizaga vibaya hao..

    ReplyDelete
  10. Jamani kule kwetu tunaita KIBERENGE Manake hicho kiberenge kinafagia kila kona sasa dada huyo amekua KIBERENGE sana, na wadau nisaidieni kwani hako katoto hakana wakubwa kwao? hilo ni kubuhu jamani

    ReplyDelete
  11. nako kamekunja sura ili kaonekane kakubwa

    ReplyDelete

Top Post Ad