AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Pombe usipoweza kuicontrol basi matokeo yake ita Control wewe ! Huyu Jamaa Alinawa na Kamera za Udaku Specially Katika Baa Moja Maarufu Mitaa ya Sinza , Inasemekana Alikuwa na Wenzake wanakunywa Baada ya Kupata Bia Mbili tu zikampanda Kichwani na Kuanza kuweka Mapozi ya Ajabu Ajabu na Mwisho Kuvua nguo na kuweka Mapozi ya Kimiss Watu Wampige Picha, Wenzake kuona Hivyo Wakamkimbia na Kumwacha Mchizi akiabika Kiaina..
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
MAJANGA
ReplyDeleteMhh Huyu atakuwa SHOGA a.k.a BWABWA
ReplyDeletebwabwa
ReplyDeleteHata maskin yaelekea malaria ililipuka endelen kumfuatilia lazima amepata shida ya akili
ReplyDeleteIngekuwa nchi za wenzetu wangehoji kulikoni,
Deletelakini Wa-TZ ndio kwanza wanapiga picha na wadaku wanapata cha kuandika
kwa vichwa vya habari vya kipumbavu.