Rais Kikwete Iga Mfano wa Uhuru Kenyata Mapambano Dhidi ya Madawa ya Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hakika raisi wa kenya ni mfano wa kuigwa:
Ni raisi ambaye awali sikufurahishwa na siasa zake lakini baada ya kuanza kuitumikia kenya anaonekana kuwa ni kiongozi makini na mwenye uzalendo wa kweli kwa taifa lake.
-hii ni kutokana na yeye kumwondoa mkuu wa idara ya usalama wa taifa wa nchi hiyo,ambapo licha ya kutambua umuhimu wake na uwezo wake lakini kutokana na matukio ya milipuko na mabomu ambavyo vililitikisa taifa hilo akaamua kumwajibisha mkuu huyo wa usalama bila kuangalia maslahi binafsi na kubebana kusiko na msingi wowote.
*=kubwa kuliko yote ni kitendo cha raisi huyu kuizamisha meli iliyokuwa imebeba madawa ya kulevya na kukamatwa bahari ya hindi ukanda wa mombasa.
Haya madawa yanakadiriwa kuwa na thamani ya trilioni 1.6 za kitanzania.
Huu ni ushujaa na ni ukomavu kama raisi kulitangazia taifa kuwa lazima hayo madawa yaharibiwe na meli husika izamishwe.
**jakaya kikwete iga mfano wa kiongozi huyu mwenzio.
-matukio kama haya yamekuwa yakijitokeza nchini lakini hatuoni hatua kali zikichuliwa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mhh biashara zawatuhizo wazikemee kinanani nawao ndowenyewe wapi Amina chifupa,nchi hii ni shiiida

    ReplyDelete
  2. Kwakweli mmh mtu mwenyewe wa kupiga vita nawakati mtoto anahusika. Hawawezi kuweka wanao kwenye hatari ndo maana usambazaji wa madawa hauwezi kuisha Tanzania tena safari hii naona unazidi kupamba moto. Labda tusubiri 2016 kama utapungua.

    ReplyDelete
  3. duu nampa big up sana Kenyatta lkn huyu handsome wetu tukio kama hili tutasubiri sanaaa labda aje mwingine zaid ya yote sisi watz tuna tamaa sana ya pesa kuliko afya ya mtu.

    ReplyDelete
  4. Wabongo bwana na huyo kenyata aige mfano kwa rais WA Tanzania aache kuwatumikia wananchi WA Kenya akiwa amelewa na kubwia sembe! Kati ya waathirika WA sembe na yy yupo. Kenya amani akuna kabisa watu tunaishi kwa mashaka. Mnamsifia nyie WA Tz msiokuwa na akili lakini cc tunawashangaa. Tupeni kikwete kenya na cc tuwape uhuru Tz. Au njooni Kenya cc tuje Tz.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we malaya kweli hujui unachokisema unabweteka tu

      Delete
  5. Liz 1 hoyeeee hoyeeeeee! Lete Sembe mshua anakulinda!

    ReplyDelete
  6. kuma la mamako mbwa msenge weweeee unaesema wa"tz hatuna akili n akili ipi mliyonayo nyinyi mam'mbwaaa....huyo Rais wenu alianza kunywa pombe akiwa madarakani c toka huko tangu en kwan mliombwa mmchague mlevi wenuu wasenge nyinyi.....umeniboa kumamako eti nyinyi wat'z msio kuwa na akili...........elimu yako ndio imekufanya ubaki kuongozwa na mlevi mwenzako bwege ,,kuma weweeee..........
    nikusikie tena kumamako unaisema nchii yangu ntakubebesha ujauzito Kuma weweeee.......
    watu wanaongea vya maana wewee unaleta nyege mshindo kumamako!
    kujuwa lugha ya watu ndio mwajionaga mnaakili,,,sisi tuana maarifa kuma wewee ndio maana tunajivunia tulichotengeneza wenyewe Kiswahili! mkunduu weeee

    ReplyDelete

Top Post Ad