Saikolojia ya Wanawake Kuchagua Mwenza (Mchumba) Inachekesha Sana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanasaikolojia wakiongozwa na mwanasaikolojia Benedict Jones wamegundua kwamba, mwanamke akitaka kupima uzuri wa mwanaume ambaye angependa kuwa rafiki au mpenzi wake, hupenda kujua kama hata wanawake wenzie wanampenda kama yeye anavyompenda……..

Anavyozidi kuwaona wanawake wenzie wakitabasamu au kumchekea mwanaume huyo anapopita mbele yao ndivyo atakavyojua kwamba, huyo mwanaume ni mzuri.

Hali hii inafahamika kama copycat reflex na ni matokeo ya nadharia ya Darwin ya mambo ya mabadiliko ya maumbile ya viumbe, kwa mujibu wa wataalamu hao, yaweza kutumika pale ambapo mwanamke anakumbana na wanaume wengi wanaomtaka lakini anapata matatizo ya kumchagua yupi na kumwacha yupi.

Au akiona uchaguzi wa mwanaume bora utamchukulia muda wake mwingi na nguvu zake hujirahisishia kwa kuchukua uamuzi wa kuwaangalia wanawake wenzie wanavyomwona mchumba wake mtarajiwa. 

Uchunguzi huu hufanyika bila wanawake wenzie kujua kwa hiyo mwanaume anayeonekana kuchangamkiwa sana na wanawake wenzake kwa lengo la kumvuta ili awe mpenzi wake ndiye ambaye atapata uwezekano mkubwa wa kukubaliwa na mwanamke huyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. eti ee'ndo baba yako na mama yako walivokwambia na ukitaka kuoa rafiki zako ndo kipimo wakimpenda na ww ndo unamuoa.....dah mnaakiri kwenu

    ReplyDelete
  2. Ampende baba au mama wao ndo wana lala nae sitaki upuuzi natafuta mwenyewe hata yakinikuta nalia mwenyewe siwezi kuwalaumu wao

    ReplyDelete

Top Post Ad