Alikiba: Nawaomba watu Wasinikosanishe na Diamond, Sina Ugomvi Naye!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alikiba anataka watu wafahamu kuwa hana na tatizo na Diamond Platnumz na amewataka watu waache kuwakosanisha.

Akizungumza na Bongo5 leo, AliKiba amewataka watu kuachana na tabia ya kuwagombanisha Diamond ili wafanye muziki mzuri.

“Kila mtu anaandika anachotaka juu ya mimi na Diamond, mpaka wengine wanatumia akaunti fake za Facebook kutukosanisha, ndio maana nikasema kuna wengine wanafanya for fun na wengine wanafanya ili kutukosanisha wengine wanafanya lakini hawajui wanachofanya,” amesema Alikiba.

“Mimi najaribu kuwaomba wadau mbalimbali waache hiyo tabia ya kutukosanisha kwa sababu mimi sina ugomvi na Diamond na wala sina mambo hayo. Ninachowataka waendelee kusupport kazi zetu ili mambo yaende vizuri kwa sababu sisi ndo wasanii wao tunaoiwakilisha Tanzania. Wanapotupa moyo wao sisi tunazidi kukaza buti ili tufike mbali zaidi. Watu wanaotengeneza ugomvi wangu na Diamond waache cha zaidi wafanye kusupport muziki na watuambie ni mapungufu gani ambayo yamepungua ili tujirekebishe,” ameongeza.

Katika hatua nyingine, Alikiba amezungumzia mapokezi ya wimbo Mwana na Kimasomaso pamoja na ujio wa video zake.

“Kwanza watu wamenipokea vizuri sana kama nilivyokuwa nikitarajia, imeonyesha ni jinsi gani yale malalamiko ya maana walikuwa wakilalamika kwamba nimekumiss na nilivyotoa nyimbo watu wanasikiliza na kuinjoy na nyimbo zenyewe zimekuja wakati mzuri na zenye maadili mazuri ya kuelimisha na kuchezeka na ya kufurahisha. Maandalizi ya video yapo tayari na booking ipo tayari vilevile, maandalizi nimeandaa hata kabla sijatoa nyimbo, video itafanyika nje na moja ni hapa siwezi sema ni nchi gani bado ni mapema nitasema baadae nikishaitoa, kwasababu nimetoa track mbili moja itafanyika hapa na nyingine itafanyika nje.”

Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. YESU NI NJIA KWELI NA UZIMA

    ReplyDelete
  2. Ally kiba una jambo moyoni , liseme uwe na amani , mshikane mikono yaishe

    ReplyDelete
  3. 3: 04. Mbona unatuaribia mada hujui kufanya hivyo kama unakosea. Ukiendelea na upumbavu wako huo hadi kifø jua kua MAISHA YAKO YOTE utaishia motoni yaani hiyo haina majadala hakuna kutiana moyo katika upotevu uliowazi. Usiwaje watu ujinga na hayo maneno yako hapa si mahara pake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hajakosea,hata mimi naunga mkono kwamba YESU NI NJIA YA KWELI NA UZIMA.
      Mimi ni muislam lakini yesu kaniponya kisukari,Nitamsifu siku zote za maisha yangu
      na mahali popote.

      Delete
  4. Yaani mie ningependa Ally kiba dai mngefanya colabo ya pamoja hapo ndio mtawakata watu midomo

    ReplyDelete
  5. wote wawili nawakubali

    ReplyDelete
  6. YESU ni njia kweli na uzimax222222222222

    ReplyDelete
  7. hawa jamaa wanachuki binafsi wanayoijua wao, kwanini wasifanye kolabo? kuna kitu kati yao, labda wamegongeana demu hawa!

    ReplyDelete

Top Post Ad