Video: Mwanamke Avua Nguo na Kubaki UCHI Mbele ya Sanamu ya Hayati Nelson Mandela

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kisa cha mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini aliyevua nguo zote na kubaki Uchi kama alivyozaliwa na kusimama mbele ya sanamu kubwa ya hayati Nelson Mandela, kimewaacha wapita njia na majirani waliokuwepo karibu na eneo hilo midomo wazi. Kwa mujibu wa gazeti la Star, Jumatatu mchana ya wiki iliyopita mwanamke huyo ambaye hakufahamika alifika eneo la Sandton, Johannesburg ilipo sanamu hiyo akiwa amevaa vizuri. Ghafla akafanya kama ambavyo hufanya wakati wa kuoga, alitoa nguo zote na kusimama mbele ya sanamu hiyo na kuwapa watu onesho la bure huku wengine wakichukua picha na video exclusive za kupost katika mitandao ya kijamii.
Hata hivyo mwanamke huyo alipomaliza kufanya alichokuwa anakifanya (ambacho hakijulikani) alivaa nguo zake moja baada ya nyingine tena taratibu kama yuko chumbani kwake na kuondoka huku watu wakimshangaa.
VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani hivi yule sio Agnes Masongange?? Mama yangu weeeeeee kweli Agnes Masongange ameumia dah

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanafanana?

      Delete
    2. Ni kama yeye kabisa,
      aise yataka moyo.

      Delete
  2. Hiyo kubwa jamani kweli dunia imekwisha lamda alifikiri huyo ni mungu afanye maombi yake

    ReplyDelete

Top Post Ad