AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kisa cha mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini aliyevua nguo zote na kubaki Uchi kama alivyozaliwa na kusimama mbele ya sanamu kubwa ya hayati Nelson Mandela, kimewaacha wapita njia na majirani waliokuwepo karibu na eneo hilo midomo wazi.
Kwa mujibu wa gazeti la Star, Jumatatu mchana ya wiki iliyopita mwanamke huyo ambaye hakufahamika alifika eneo la Sandton, Johannesburg ilipo sanamu hiyo akiwa amevaa vizuri.
Ghafla akafanya kama ambavyo hufanya wakati wa kuoga, alitoa nguo zote na kusimama mbele ya sanamu hiyo na kuwapa watu onesho la bure huku wengine wakichukua picha na video exclusive za kupost katika mitandao ya kijamii.
Hata hivyo mwanamke huyo alipomaliza kufanya alichokuwa anakifanya (ambacho hakijulikani) alivaa nguo zake moja baada ya nyingine tena taratibu kama yuko chumbani kwake na kuondoka huku watu wakimshangaa.
VIDEO:
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Jamani hivi yule sio Agnes Masongange?? Mama yangu weeeeeee kweli Agnes Masongange ameumia dah
ReplyDeleteWanafanana?
DeleteNi kama yeye kabisa,
Deleteaise yataka moyo.
Hiyo kubwa jamani kweli dunia imekwisha lamda alifikiri huyo ni mungu afanye maombi yake
ReplyDelete