Wanawake Kaeni Mbali na Wanaume wa Kikongo Otherwise Utajuta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa kipindi kirefu sana Mdakuzi Wako nimefanya uchunguzi wa kina juu ya mahusiano ya kimapenzi baina ya Watanzania (wanawake) na Wakongo (wanaume).

Kiufupi hapa Africa hakuna wanaume na waongo zaidi ya wakongo, wakongo ni waongo waongo waongo mpaka kero. Hata wanaume wa kitanzania hawawafiki wakongo.

Tabia kuu ya wakongo ni kuchuna wanawake wa kitanzania na wanawake hao wakifulia wakongo wanawakimbia. Mwanaume wa kikongo hawezi kuwa na mwanamke asiye na pesa kwa hapa Tanzania kwani wengi wao wamejazana kinondoni na hawana shughuli maalumu.

Huwa wanawapumbaza wanawake kwanjia kuu mbili:
1. Kumpatia mwanamke kitu kidogo ili wapate kikubwa. Kwa mfano; Mwanamke ana mtoto anasoma shule na ada ni milioni moja, basi mkongo atalipa hiyo ada ya milioni moja then baada ya wiki mbili tu utasikia anajieleza kwa mwanamke anashida ya milioni tatu na dada zetu huwa wanatoa kama wanayo na kama hawana wataenda kukopa. Mwanamke huwa anasema "ngoja nimpe tu jamani, mtu mwenyewe anaupendo sana kwangu na mwanangu yaani alinilipia na ada ya shule" bila ya kufikiri anachotoa ni kikubwa kuliko alichopewa.

2. Kulia; Wakongo wanapenda sana kuigiza wanalia, na si kidogo. Analia kabisa na machozi yanatoka huku akikwambia "sheriiii usiniache, jua nakupenda sana". Dada zetu hawajawahi kuliliwa na mwanaume basi wanachanganyikiwa wanatoa kila walichonacho.

KUMBUKA: Siku ukifulia Mkongo anakuacha na atakutukana matusi yote unayoyajua na hautaamini kama niyeye aliyekuwa analia.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ile mikorogo inanitia kinyaa sina hata hamu

    ReplyDelete
  2. Mdaku uwe unaandika ulipoitoa.umefanya uchunguzii au umecopy na kupest kutoka JF?

    ReplyDelete
  3. Ni kweli mi mwenyewe Nina bwana mkongo yeye anakaa hotel, cha ajabu kila cku Hana hela sasa pale hoteln hanalipa mavi au ndio anatafuta njia ya kuniibia maana na mm dada yako Nina pesa, chakushangaza sasa hajawai kunipa hats ckunipa hats hela ya maana,

    ReplyDelete
  4. dada mteme huyo mkongo njoo kwangu nitakupa mapenzi na hela ya kuongeza hiyo uliyonayo

    ReplyDelete
  5. hahahaaa utawasikia "SHERIII NANGAI NAKUPENDAGA ZAIDI YA MAMA YANGU KINSHASA, MALA OOO UNATOMBOKA KWA MLOMO UTANUNUA YAKWAKO ACHA KUTOMBOKA NA SHERII WANGU, kumbe wizi mtupu!!!.

    ReplyDelete
  6. AAAAHAAAAAAAAAAAAAAA, MM HUKU SINA MBAVU MDAU 9:20AM

    ReplyDelete
  7. Kazi kujichubua Tu, wapo Tanzania kwa ajili ya kuwaibia dada zetu wasenge sana hawa wacongo na mibolo Yao mikubwa kama mguu WA mtt

    ReplyDelete
  8. Yaelekea Congo Kuna maisha magumu Sana ndio maana wamejaa Sana kwenye salon za kike kutafuta wanawake wawape hela wapeleke kwao

    ReplyDelete
  9. Wacongo wengine wanatoka misituni, kwenye misitu mikubwa ya congo, hawajui hata kuvaa. hawako civilized jamani Watanzania jihadhalini sana na mataifa haya mengine ya Africa msije mkaja lishwa mpaka tunyani, Africa ni kubwa na ina wafrica wenyei tabia tofauti tofauti na mila na desturi tofauti tofauti, Na huku kwetu Bongo

    ReplyDelete
  10. na wakongo wengine hao wanajifanya wasanii, hawana wanachoimba zaidi ya kutaja majina, anakusifia ili ukamwage mapesa duu wajanja sana hawa watu,

    ReplyDelete
  11. Mta ua acheni move iendelee walishalia sana tatizo vijana wabongo hawakati viuno kwenye sita kwasita hahahahahaha .

    ReplyDelete
  12. Sasa kama ninyi wanaume wa kwetu wa kitanzania hamtutaki, ndo maana tunajikuta tumeingilika kwa mwanaume kama hao.

    ReplyDelete
  13. watanzania acheni ubaguzi wa kuwabagua wenzenu tu kwasababu wametoka nchi nyingine.huyo mwandishi ana visa yake na hao wanaume wakingo .kumbukeni siku zote mgeni anapoingia kwenye nnchi wanawake ndio wanaobabaika tembea sehemu zote dunia hayo utayaona .mnataka kuwa washamba wanawake kama wa south africa?.kugombania wanawake zenu wasichukuliwe na wageni?.mtasababisha zenophobia na kuwafukuza wageni kutoka nje na mkimaliza mtaanzana wenyewe kwa wenyewe ..tembeeni muone nnchi za wenzenu wanavoishi na wageni..na watreatini dada zenu vizuri na hayo yatakwisha .thanks mbongo south

    ReplyDelete
  14. Mimi cwakubali kabsa wacongo hap ndio wamemsababishia matatizo papas msofe kwa kumuimba muimba ovyo hadi serikali ikaanza kumtafuta Baba WA watu bila kisa. Wengine wanaimba uongo Tu, mcongo WA ukweli Ni Mzee Makasi tu

    ReplyDelete
  15. Mi cwapendi wacongo, nilikuwa na mkongo nilijuta bora tubaki na kaka zetu wakitanzania. Kwanza wakongo kumuomba hela mwanamke hawaoni aibu, pili wakipata hela Tu wanakimbilia kwao zikiisha wanarudi nchini, na wengi wao wanajifanya wafanyabiashara za madini

    ReplyDelete
  16. Wamekuja na style mpya ya uchungaji pastor wanakulaje sadaka za walala hoi? Huyu aliyeandika hii habari Ni kiss cha ukweli mtupu, big up mtu wangu WA nguvu

    ReplyDelete

Top Post Ad