Maskini:Mtoto wa Mwaka Mmoja Abakwa Jijini Arusha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja tunayemtaja kwa jina moja la Devota wa Sokoni One jijini Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru kufuatia kubakwa na njemba moja iitwayo Rajabu Mkoba (30), mkazi wa eneo hilo.

Tukio hilo lilitokea Jumapili ya Agosti 3, mwaka huu ambapo mtuhumiwa huyo anadaiwa kumbaka mtoto huyo kwa saa 9 na alimrejesha nyumbani kwa mama yake usiku wa manane.

Akizungumza na Udaku Specially , mama wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la  Mwitango alisema siku ya tukio, asubuhi alimkabidhi mtoto wake kwa jirani yake aliyemtaja kwa jina la Mustafa Kabananga na yeye kwenda kwenye kikundi cha akina mama.

Usiku saa mbili alikwenda kwa jirani yake huyo kumchukua mtoto wake lakini akaambiwa alichukuliwa na Rajabu.

“Nilikwenda nyumbani kwa mtuhumiwa, yeye anaishi na wazazi wake. Hata hivyo, sikumkuta mwanangu wala mtuhumiwa, nikarejea nyumbani.

“Lakini kabla sijarudi, nilimwambia mama wa mtuhumiwa kuwa mwanaye kaondoka na mtoto wangu akaniambia  nirudi nyumbani nikaendelee kumtafuta nikimkosa niende kwake ili akajue cha kufanya, aliamua kwenda polisi’’ alisema mwanamke huyo.
MWAKA

“Ilikuwa saa 9 usiku nikiwa narejea nyumbani kutoka polisi, nilimkuta mama mzazi wa mtuhumiwa akiwa na mtoto wangu akimrejesha kwangu lakini mtuhumiwa hakuwepo.

“Niliamua kumchunguza vizuri mwanangu ndipo nilipogundua kuwa sehemu zake za siri zimevimba kupita kiasi huku damu zikimtoka.

“Nilikwenda kumweleza mama yake jinsi mwanaye alivyomtenda mtoto wangu na kumwachia mtoto ampeleke hospitali, alinisihi nisitoe taarifa za tukio hilo popote na akaniahidi kunipa shilingi laki moja,” alisema mama huyo.

Imeelezwa kuwa mama wa mtuhumiwa baada ya kukabidhiwa mtoto huyo hakumpeleka hospitali badala yake alikuwa akimtibu kwa kutumia miti shamba.

Baadhi ya majirani walikerwa na kitendo cha mwanamke huyo ambapo walimvamia na kumtolea maneno makali ya kumtaka alifikishe suala hilo kwenye vyombo vya sheria.

Kufuatia kelele za majirani ndipo alipokubali kurudi Kituo cha Polisi cha Unga Ltd ambapo polisi walifika nyumbani kwa mama wa mtuhumiwa na kumchukua mtoto huyo kisha kumwandikia hati ya matibabu (PF3) na kumpeleka mtoto huyo katika Hospitali ya Mount Meru ambako anatibiwa.

Polisi hao walifungua jalada la mashtaka la kubaka na kunajisi lenye namba Ung/RB/2473/2014, bado mtuhumiwa hajakamatwa kwani alikimbia baada ya tukio hilo lakini mama yake ameshikiliwa kwa mahojiano .
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Natamani adhabu ya kifo ingekuwepo miaka 30 kummbaka mtoto wa mwaka 1 ni uwendawazimu wanawake kibao hadi wa buku 2 wapo why mtoto kunaraha gani utaipata anavyolia kwa uchungu anachanika anatokwa damu..tuwe na hofu ya Mungu jamani..wazazi nao tuwajali watoto wetu sio kumpa kila mtu hayo ndio madhara..pole baby Mungu yupo natamani ahasiwe asibake wengine

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inatia hasira sana,nimeshakutana na
      kesi za namna hiyo,lakini moja kidogo inifukuzishe kazi,
      maana mara baada ya mtuhumiwa kukubali kosa,nilishikwa na hasira,nikajikuta namtupia funguo,zikamdhuru jicho kidogo,lakini nashukuru yaliisha.

      Delete
  2. Kumamae akikamatwa nae abakwe halafu auwawe

    ReplyDelete
  3. huyo mama ake fala sana inawezekana yeye ndie aliyekuwa anatombwa na mwanae na ndio maana amekataa asipelekwe polisi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inashangaza sana, mama umpeleke mtoto wa mwaka 1 kwa jirani, umuache huko hadi saa 2 usiku, huyu mama pia ana kesi ya kujibu

      Delete
    2. Pole kwa mtoto. Ila mama wa mtoto pia ni mzembe na hayuko makini na mtoto kama aluvyosema mwenzangu. Utamwachaje mtoto mdg kwa jirani hadi usiku? Me ni mfanyakazi wa kujiriwa na nina watoto wawili wa miaka saba na mwaka mmoja. lakini ikifika muda wa kutoka kazini ambapo ni saa kumi na moja kasoro akili, mawazo yote yanaelekea nyumbani kwa wanangu hata kama kuna dharura lazima nikawacheki kwanza watoto na nijue wako katika mazingira gani ndio niendelee na mambo mengine. Wamama tujali, tuwapende na kuwatunza vema watoto wetu.

      Delete
  4. yaani mdau umenifurahisha sana mimi hapo naona mzizi wa tatizo ni mama wa mtoto iweje amwachie mtu mtoto wa mwaka mmoja tena ni just jirani. huyu mama ndio mshitakiwa namba moja

    ReplyDelete
  5. Mama hana akili hata kidogo anamwacha mtoto kwa jirani alafu anamzilia amtibu kwa umri wa mwaka kisa laki. Hapo mapenzi kwa mtoto hamna yupo kipesa zaidi

    ReplyDelete

Top Post Ad