AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.
“Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa…lakini tu sina uwezo huo mumy… tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo….” Huku akionesha gari hilo pichani
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mnakumbuka Diamond amewahi kutoa picha ya gari v12.akidaamenunua kumbe ameazima kwa chief kiumbe.
ReplyDeleteTuwe na subira yanayofanyika hapo ni maigizo.
kumbuka wote Diamibd na Wema ni watoto wa Tandale.Wanapenda masifu ya madream.
ramba ndimu kaka tena tafunia na pilipili haswaa!!
ReplyDeleteOK HONGERA WEMA, BASI ZAWADI ZIWE NA KADI KAMA GARI YA LULU ALITUONYESHA NA KADI YAKE
ReplyDeleteakuonyeshe we nani kenge weee
DeleteMapenz ya bongo bwana usaniii tupu. Yaan wema kaongwa magari 2 na wanaume tofauti. Moja. Kwa. Chibu. Na lingine kwa peshedee mmoja. Na uyo atakuwa Clement. Wamerudiana kiaina hapo kaka meneja katumika kama kiwakilishi mliyosoma HKL mtanielewa
ReplyDeleteMapenz ya bongo bwana usaniii tupu. Yaan wema kaongwa magari 2 na wanaume tofauti. Moja. Kwa. Chibu. Na lingine kwa peshedee mmoja. Na uyo atakuwa Clement. Wamerudiana kiaina hapo kaka meneja katumika kama kiwakilishi mliyosoma HKL mtanielewa
ReplyDeletebwege we na hkl yako umbea utakuua
Deletewe umalaya utakuua sembuse umbea nyolooo
DeleteNyie mnaoponda wote wanaume suruali,mmekalia kuangalia mwanaume mwenzenu kafanya nn,ukitaka vya gharama lazma ugharamie wewe,kudadeki,hata akiongwa na wanaume kumi si wameamua wao kwa iyari yao nyie inashobo kitu gan??????
ReplyDeleteHao wanaodiss watakuwa ni wale vizabizabina visalata vya mtaa, kama wanaume wanashindwa kuwahonga madem zao hata chupi za elfu elfu japo wanunue dazani nzima kwa 10,000. Kama ni wake ni wale ambao hawajawahi kuhongwa hata baiskeli na mabwana zao. So take a chill pill, mmezoea mapenzi ya kujaza masahani kwa wanawake zenu bila kutoa pesa za mboga, hahahahahahaa, jifunzeni hapo kwa wanaume wenzenu. Halafu mnaojidai kahongwa kahongwa, wewe umekosa nini mpaka hujahongwa kitu mpaka leo?
ReplyDeletebig up for you madame tayar ushapata kick upo juu now wakina kajala watasubir saaana
ReplyDeleteKajala alipanda juu kwa ajir ya wema sasa atajuutaaaaa
ReplyDelete