Wiz Khalifa Azungumzia Kufumaniwa Na Amber Rose.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rapper Wiz Khalifa amesema aliachana na mke wake Amber Rose kabla hajaomba talaka yake.
Wiz Khalifa amezungumza haya baada ya Amber kusema kuwa Wiz alikuwa na wanawake wengine, Wiz amesema ni kweli Amber alinikuta na mwanamke ndani ya nyumba saa nane usiku ila tulisha achana kwahiyo sikuwa namsaliti. Wiz aliendelea kusema kuwa amehamia nyumba yake nyingine ila Amber alizidi kumfuatilia. Wiz Khalifa bado anaamini Nick Cannon anamahusiano na Amber Rose.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wee ukutwe na mwanamke saa nane usiku halafu husema hajakufamania!! wanaume bwana mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad