Hatimaye Dada wa Mwanamuziki Diamond Platnumz Esma Afunga na Petit man

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ni habri mpya ya mjini kwa sasa,ndoa ya Dada wa Diamond na kipenzi wa Wema petiti man wakuache,amabapo uhusiano wao ulioanza kama utani hatimae  umezalisha kile amabcho wengi hawakukitgemea kama kingekuwa mapema hivi...Udakuspecially inawatakia maisha mema ya ndoa na baraka tele.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hongera mwaya Allah awadumishie ndoa yenu mupendane,muheshimiane mtunzane,mstahamiliane na burakiwe watoto wa kike na wakiume ameen, mwaya ungepaka na piko na rangi yako ivo ungependeza zaidi hemu weka biharusi wa kiislam hina mumy weka ata ile simple design ya wasomali utafunika mbaya mpenzi much love

    ReplyDelete
  2. Mmmh gafla toto ake wema kweli mapenzi ya dhati hayanaga kusubiriana miaka kumi kma mnapendana mnapendana tu ..mungu awatangulie ndoa yenu idumu

    ReplyDelete
  3. mmmh, how many year tuwape? anyway, put this in ur notebook, 6months? u know each other well? anyway yawezekana pia..by the way ni kiiislam inaruhusiwa more and more... all the best Petit and huyo dada platinum.....jengeni maisha pamoja ndio inatakiwa vumilianeni, msisikilize majungu, vumilianeni, tafuteni pesa kwa nguvu, wekezeni kwa future yenu na familia yenu, punguzeni au acheni kabisa starehe zisizo za msingi....u hav a long way to go.................she is cute umepata watoto wa kimanga..KUDADEKIII

    ReplyDelete
  4. wanaowambea mabaya washindwe na walegeee

    ReplyDelete
  5. kila la kheri, twawaombea zisijekuwa mbio za sakafuni. Napita mie

    ReplyDelete

Top Post Ad