Haya Ndio Maneno Aliyoyasema Diamond Kumtakia Siku ya Kuzaliwa Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yanasisimua sana hayo manenp

    ReplyDelete
  2. .........na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....

    Kwa kweli diamond una maneno matamu mtoto mmmmhh, yaani hata kama ulinuna lazima ufurahi tuu. Nawaombea kila la kheri na mjaaliwe kufunga ndoa panapo maajilwa

    ReplyDelete
  3. .........na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....

    Kwa kweli diamond una maneno matamu mtoto mmmmhh, yaani hata kama ulinuna lazima ufurahi tuu. Nawaombea kila la kheri na mjaaliwe kufunga ndoa panapo majaaliwa

    ReplyDelete
  4. yan nimetaman kama mim ndo naambiwa hayo maneno na dav wang, lakn cjui kama ntakuja yapata. hii kapo jaman......we acha tu

    ReplyDelete
  5. wajinga ndio waliwao he he he he drama zooooote zile alizomfanyia anakuja nyamazishwa na maneno mataaaamu fala kweli nyie

    ReplyDelete
  6. Diamond am crazy with ur sweet message kwa mkeo wemaaa sante babaaaa

    ReplyDelete
  7. Nimepanda zawad ya murano kwa mamaaa onyinyeeee chezeaa wema na diamond haya wapi meninaaa falaa takatakaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. yule menina chizi aliyelianzisha kafunga account lol alitaka kumtukanisha (menina la diva tu mshenzi yule) mchonganishi sana yule mtoto kaumbukaje maneno yakamuishia!

      Delete
  8. matusi ya nini kwa menina wakati zile ni story za kuuza magazeti!! menina hana mpango na diamond kabisa

    ReplyDelete
  9. wewe hapo juu usiite watu fala fala mwenyewe mwenye wivu ww toka uuze pupuchi yako ushapewa hata leso ya kufutia maniii waache walale mwanake apingwa na mpz wake nakuvunjwa mkono but kidonda kikipona tu mabeg huyooo kwa bby wake umkome kabisa wema

    ReplyDelete
  10. TENAA KAUMBUKA MENINA SURA MBAYAAAAAAAAA KUFA HATAKI ANAMALIZA PUMZI MWONE ANAINGILIA MAPEMNZ MBWA HUYOOOO

    ReplyDelete
  11. massage yako hiyo diamond!!!!!!!!!!!!!!!! tunaomba uwe umesema kwa kumaanisha pls

    ReplyDelete

Top Post Ad