‘I Should Have Known’ – Wema Sepetu Apost Ujumbe Uliowafumba Wengi Instagram

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna tetesi kuwa Wema Sepetu na Diamond Platnumz hawapo tena pamoja. Magazeti ya udaku yameandika kuwa Diamond anataka kuoa.. lakini mwanamke anayetaka kumuoa si Wema, ni Meninah! Hatujaweza kuthibitisha ukweli wa tetesi hizo lakini kuna dalili nyingi kuwa hakuna amani tena paradiso.

Tetesi za kuvunjika kwa power couple hiyo ya Bongo, zimechochewa zaidi na post ya mafumbo ya Wema Sepetu kwenye Instagram. Katika post hiyo, Wema ameweka picha yenye rangi nyekundu pekee yake na kuandika ‘I shouldve known’.

Picha hiyo imezua maswali mengi kwa followers wake zaidi ya 211,133 kwenye mtandao huo unaopendwa Tanzania.



Haya ni baadhi ya maoni:

modestae68

@wemasepetu haya mbwa mwitu huyoooo katoka hakuna cha princess sasha,superstar wala ile filam uliyosema unacheza kama mgonjwa wa kansa ukanyoa kipara yaani naumia kuona hivyo wema vp? Acha mambo ya kugawa pesa majukwaani sio wote wanaokushangilia unapopanda ktk majukwaa wengine wanakuzomea hukui? Acha kulewa sifa za team za kukusifia kila ufanyalo yaani sijui niseme nn nikiona wenzio wanavyosonga mbele naumia alafu wewe unaonyesha ufahari majukwaani mmmh kweli hakuna kizuri kinachokosa kasoro haya watakaonitukana poa tu lkn mm wema ni kama mdogo wangu nampenda sana ndio maana namwambia sasa wale waliozoea kutukana tukaneni mpaka mchoke lkn nyie nyie mlikuwa mnasema ktk kampen ya bring our wema hivyo sitoshangaa.mm nitaongea mpaka siku nikiona mabadiliko nafikiri ndio siku nitakayoridhika japo ni kwa faida yake na siyo yangu ila sio mbaya kumwambia mtu kitu chenye faida kwake hata kama huna faida nacho.am still love u wema.

mwelumwikya

I saw this coming @wemasepetu you are a beautiful girl with brains you should not worry at all he is only 25

patrarobert

sitaki kuamini kuwa uko kwenye majuto…na hasa kama majuto yenyewe yanahusiana na mahusiano yako ya kimapenzi….bt kama ndivyo;kwanza pole…kila kitu knatokea kwasababu…angalia ulipojkwaa,nyanyuka futa vumbi…anza upya…Kama n jambo lingine…do the same:ILA U BETTER START LIVING…START ACTING LIKE A LADY…kila mtu ana kasoro zake…n kweli ila zako znaonekana zaidi kwa sababu u r on spotlight…na kwasababu u r an attention seeker…achana na hayo mambo wema…sitaki kuamini kuwa wewe n sikio la kufa…tuko wengi yametukuta mengi sababu ya kutosikiliza wazazi…kusema tu “nampenda mama angu,she z my everything”bila kumtii na kufuata maagizo yake n bure…na AMINI kuwa u wont rest mpaka ukianza kumtii mzazi wako…kama ni huyo diamond atakusumbua mpaka uchanganyikiwe kwasababu huo uhusiano hauna baraka za mama ako…unaweza ona kama kakuruhusu…inabidi akuache ufanye utakalo ili dunia ikufundishe…HUJACHELEWA… @wemasepetu @wemasepetu

callyrissanen

Sijui unachokiongelea kama ni majuto au surprise nzuri. Cha muhimu nakwambia kama dada mkubwa lol, acha starehe za kugawa pesa kwenye kadamnasi. Wekeza hizo pesa uende vacation hata hapo PARIS TUU wewe na umpendaye, sio lazima awe baby yako chibu. Weka pesa na ujijengee tabia ya kutoka outings za kwenda kwenye hotel nzuri kula chakula kizuri wewe na familia yako au mtu umpendaye, sio lazima awe baby yako Chibu. Weka pesa nenda gym kujikeep busy angalau mara 3 kwa wiki, sio lazima na baby yako chibu kwani utapata personal trainer. Weka pesa na acha kuwanufaisha hao wacheza show kwani ukifulia watapata maneno ya kutungia wimbo. Take care and remember that;this too shall pass!!

magz_16

You all need to leave these two have fun and enjoy each other as it lasts.Diamond is still a young boy…!!!How old is he again!!!Hes got a looong way to go as a man.@wemasepetu ….if i were you..i would just focus more on making money and building my future!!Build a house…be a business woman…date real men that will not be intimidated to help me rise up there….I would make money more than even Diamond himself…I would rise like i have never before..and why?coz i carry a powerful name…iam beautiful..and Educated too.I wouldnt go clubbing splashing money on artists..i will go out there make money than all my exes…and my current boyfriend.I would make sure…east Africa knows who # Wema..as a Brand..and not just as diamond girlfriend.I wish you all the best sweetie….stay Focus

Unahisi anajuta kurudiana na Diamond na huenda wakawa wameachana kweli? Tupia maoni yako.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chochote kiwe wameachana au wataoana kilichomuhimu hawawezi kuishi pamoja wote hawajatulia na Daimond anataka mwanamke mzuri lakini awe mjinga apate nafasi ya kufanya uhuni wake bila kuulizwa.
    Ni bora kwa Wema aondoke ajipange upya na aachane na mambo ya kijinga kumwaga na kutumia pesa kama anazo atazipata maana anapewa kwasababu yupo na Daimond wakiachana hakuna ataemtaka haswa ukitizama tabia yake ilivyo, pole dada umechezea shilingi jikoni.

    ReplyDelete
  2. modesta kazi unayo,maana mmh sikuelewi unataka nini hasa,ishi maisha yako,ukitaka kuishi maisha ya wema sepetu jua litakuchwea,usitake wema aige maisha ya mtu mwengine,kisa kajala katoa mbwa mwitu,basi na yeye atoe yake,hiyo super star hajaitoa kwa sababu anazozijua yeye na hiyo ya aliyocheza juzi itatoka tu,kuwa mpole mama,mashabiki ndio tunafanya filam zinachezwa chini ya kiwango,mnataka mtu akiigiza leo,kesho filam hiko sokoni,hiyo mbwa mwitu sidhani kama imechukua hata week mbili,wenzetu nchi nyingine filam inaandaliwa mwaka mzima,ndio maana kazi zao zinakuwa nzuri,

    ReplyDelete

Top Post Ad