Lemutuz Aja na Mpya, Atoa Ofa ya Wabebezi Wakali Kumi Kwenda Nae Kula Bata Kwenye Boti ya Kukodi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa Wale Mabebizi Wakaree wa Mjini Mnaotaka Kula bata kwenye Bot Kuelekea Kisiwa cha Mbudya Mzee Mzima Lemutuz anakupa chance ya Kusail naye ..Jisomee Alichoandika Kwenye Instagram yake hapo chini:

"Ok guys I mean wabebez wa ukweli next Jumamosi nitakodi boti ya kwenda kula bataz Mbudya Island natoa offer kwa wabebezi wakareezzz 10 tu my Insta babies twenzetuni kura bataaz if you wanna be in halla me at 0717 618 997 halafu send me your full pic at watsap 0717 618 997 nione kama ni kweli mbebez mkareezzz ni kwenda kura bataz sio kwenye gademu mapenzi unlesss ikitokea tu kitu natural U know hahahahhah unajua I love USA ilinifundisha kuwa mkweli na muwazi sio kuficha ficha mambo ambayo ni kawaida kwa watuwazima U know I loooooove wabebezz wakareeez U know I mean ukiwa nao unasahau gademu shiderrrr U know hahahahahahah!" - Le Mutuz
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli wewe tumbili hukuwi you know, mambo uliotakiwa ufanye miaka ishirini iliopita unafanya saa hizi u know hahaha! !! My ass!!

    ReplyDelete

  2. Lemutuz akili boga you know,Unakribia 60 you know,mambo hayo anatakiwa mwanao ndio afanye you know.Halafu shikamoo unazipiga chenga wewe kubwa jinga.
    Daah hata ufanyeje sura imetepeta kuashiria uzee,

    ReplyDelete
  3. hahhaha, gademuu kulaa raha bwana kama umezipata we piga hizo mebebeeezz, mae, dah ila ka umri umeenda vile?? how old au? u need LAFAMILIA gademmm, hahahaha..KUDADEKI

    ReplyDelete
  4. This guy si mzima,mambo anayoyafanya haataa 10yrs kid hawezi kufanya,si alitutangazia anaoa huyu na hata taka mchango wa mtu,kiko wapi sasa,na nyie wasichana mtakaoenda wote mafalaaa

    ReplyDelete
  5. Me siku nikikutana nae hata kwa kupishana tu ntakua makini sana au hata kupiga makelele kuomba msaada, coz anaweza hata ning'ata huyu... nahis ka mento kimtindo!!

    ReplyDelete
  6. kula sio kura.. you know kubwa jinga wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad