Masanja Mkandamizaji Amzidi Utajiri Diamond Platnums

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadau,
Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga!
Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza kipato chake ili vijana tujifunze kutoka kwa vijana wenzetu. Nilifahamu ana kipato kizuri lakini amekuaje kiasi cha kumzidi Diamond? Mungu amkbarikie zaidi
Asante
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mna hukika gani nyie watu acheni kupima watu kwa macho

    ReplyDelete
  2. its not a big deal

    ReplyDelete
  3. ............. U N G A

    ReplyDelete
  4. ana mashamba makubwa ya mpunga na anamiliki matrekta kibao kwa ufupi ni ni mkulima mkubwa sana

    ReplyDelete
  5. mkulima?Chagga barbie anapenda mteremkoooooooooo,wauza dona anavyowamendea,sasa hivi anamnyemelea muuza dona Rumishael Shoo,sasa kila demu anajilengesha mimba kwa Rummy shoo kama Mwa fulani ngoja nisikutaje kwa leo,ili achune buzi vizuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,kweli dunia hii usipoishi kwa akili.Mimba ilikuwa aiingiii kajitahidi kila njia sasa hivi imenasa.watoto wa rummy wote wawe mateja wabwie
    maunga,Amen.na Rummy si kama anapendwa kihivyooo wanapenda huduma yake nasikia anaudumia wanawake zake mahela ya donna ya kumwaga hayana asara.

    ReplyDelete
  6. Sio asara ni 'hasara'

    ReplyDelete
  7. Usiwaombee watoto wa watu mabaya maana hawana hatia. Mungu akusamehe na roho yako mbaya. Jitumeni vijana sio kila anayefanikiwa ni muuza sembe. Masanja ni mkulima mzuri tu na kilimo kinalipa

    ReplyDelete
  8. Ni kweli masanja ni mkulima wa haja mbona mara kadhaa hata kwenye fb page amerusha pics akiwa anavuna mpunga....na mi-ttractor ambayo anaimiliki mwenyewe....
    Tujitume tuache majungu kha....

    ReplyDelete

Top Post Ad