AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple , Sasa eti anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa kwa kuwakanyaga migongoni...Angali Picha Hapo Juu
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Hata kama ni kanisa lakini linakiuka maadili/haki kwa binadamu.
ReplyDeleteSerikali iko wapi?inabidi iingilie na kuchunguza ukizingatia mchungaji mwenyewe sio Mtanzania.
Kweli wajinga ndio waliwao.
ReplyDeleteWala sio hapa Tanzania wee anon wa kwanza haya yote yanayojili ya mchungaji huyu ni huko South Africa kwao, yapo kwenye you tube na lugha wnayongea ni ya huko huko South kwao sio Tanzania, Tanzania kila mtu anaongea kiswahili ndio utaona kumbe sio hapa. ila ni bara hili hili la Africa
ReplyDeletePhotoshop @work
ReplyDeletemakafiri mpoo,tehe baada ya kula majani,petrol,sasa ni kukanyagwa tu...subirini kulishwa mavi sabab nyie ni vipofu,viziwi na mabubu.
ReplyDeleteshindwa kwa jina la yesuuu...kafiri ni mtu asiyeamini katika yesu kristo
ReplyDelete