Ninaachika Kila Mara Kwasababu ya Msimamo Wangu wa Kutokufanya Mapenzi Mpaka Siku ya Ndoa..Ushauri Pliz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mpenzi wangu ambaye nimedumu naye kwa mwaka mmoja leo amenitamkia kuwa hawezi kuendelea kuwa na uhusiano na mimi, amesema ameshndwa kuvumilia kuwa na mpenz bila kufanya S3X.

Amesema hawezi kunifanya pambo awe ananiangalia tu, lakn wakat tunaanza uhusiano alinikubalia kuwa hatufanya S3X mpaka tukifunga ndoa lakini leo amenigeuka. Nimelia saaana toka asubuh mpk asahv lakn naona haina maana, NAOMBEN ushaur wenu jaman nimrudie nikubal kuS3X nae au? 

Manake mpaka leo tayari nimeshaachika kwa wanaume kama wanne yote chanzo ni S3X, sasa nitaachika mpaka lini? Manake inavyoonyesha ni kwamba wanaume hawawezi kukaa na mwanamke bila ku-s3x kama atakwambia yupo tayari kukaa na wewe hivyohivyo huwa wanakuwa na wanawake wengine wa nje wanao s3x nao.

Nilishaurini jamani, nimwambie nipo tayari ku-s3x nae au niachane nae tu? Ukweli nampenda sana .
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. usikubali kusex hao huyo sio wakweli kwako anataka kukuchezea na kukuacha kama ange kuwa na nia na wewe angesha kuoa kwa hizo siku mlizokaa.

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu, hata mimi nimeanza ku sex very late na ni kitu I am very proud of! Itakuongezea heshima na trust kwa mwanaume atakayekuoa. Kaa ukijua it is not your fault kwasababu unawaambia hutaki. Relationship is a two way, respect, love and trust ndiyo muhimu kutoka kwa both parties. Wewe kumpenda isiwe sababu pekee. Jichunge!

    ReplyDelete
  3. don't do p'ze wanaume ni waongo,, hapo anapima msimamo wako akishakuchovya tu atakubwaga na kudai kuwa wewe si mwaminifu hata utakapofunga naye ndoa utachepuka.. KISICHO RIZKI HAKILIKI...Mungu ni mwema hawezi kukuacha ukose mume.. USIDANGANYIKE..

    ReplyDelete
  4. USIKUBALI MINE, KWANI WANAUME NI WAONGO SANA, ISHANITOKEA MM, NILIKATAA NA MWISHOWE NILIMWAMINI MWANAUME EN AKANIVARGIN BUT HAKUCHUKUA HATA MDA MREFU, AKAAANZA KUNISALITI. AT THE END TULIBREAKUP. JITUNZE HADI UTAPOMPATA WA KUKUOA.

    ReplyDelete

Top Post Ad