TCRA Yaanza Kuwashughulikia Wanaotumia Vibaya Mitandao ya Kijamii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mamlaka  ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kuwakumbusha wananchi  kutumia njia ya mawasiliano ipasavyo ili kujijengea heshima kwani kwa sasa hatua kali za kisheria zimeanza kuchukuliwa kwa wale wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii.

Akizungumza na Times fm,  Meneja mawasiliano wa  (TCRA) Inocent Mungy amesema kuwa ipo haja kwa wasichana kujiheshimu kwani picha nyingi mbaya zinazoonekana kwenye mitandao hiyo  ni zao.

Naye Mkuu wa kitengo cha masuala ya watumiaji wa mitandao Isack Mruma amesema watu wanapaswa kuelewa matumizi  sahihi ya mitandao na lazima kuwe na usiri wa akaunti za mitandao ili kuweza kuepukana na matatizo ya usambazaji wa picha mbaya kwenye mitandao hiyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad