UPDATE: Trafiki Aliyegongwa na Gari Mbagala Afariki dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikiuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbi
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. R I P AFANDE RIZIKI.

    ReplyDelete
  2. DAH! R I P WP , AAAH NDOO MAANA LEO TUMEKOMOLEWA BARABARANI FOLENI SI MCHEZO

    ReplyDelete
  3. Jamani driva endesheni kwa umakini. Poleni wote mlioguswa na msiba hasa ndugu na jamaa

    ReplyDelete
  4. so bad so bad jamaniiii amekufa! r.i.p riziki

    ReplyDelete
  5. poleni sana. ni vizuri kuchukua tahadhali muda wote. madereva wanatumia mirungi na viroba.

    ReplyDelete

Top Post Ad