Wema Sepetu 'Watu Wenye Majungu Hawanisumbui Kichwa Kabisa Nabaki Nawatazama Tu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Mayasa Mariwata
MADAMUUU! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amecharuka na kudai anachukizwa kwa kiasi kikubwa na wasanii ambao wanapenda kumfanyia majungu kutokana na chuki zao binafsi.

Akipiga stori na paparazi wetu, Madam alisema anajua wapo wengi wanaomchukia kutokana na sababu zisizo za msingi kwa kudai kuwa anaringa na vyovyote vile wanavyojadili lakini hajali kwa kuwa hakuna ukweli wowote.

“Watu wenye majungu hawanisumbui kichwa kabisa nabaki nawatazama tu, sababu sina maringo wala majivuno kwa mtu yeyote, sasa cha ajabu wengine wanasema naringa, kwa staili hiyo hatutafika mbali maana wasanii wa nchi za wenzetu wana umoja hawana mambo ya aina hiyo,” alisema Wema.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sema wanaokwambia ukweli hawakusumbui kichwa kwa sababu beer unapata na starehe zote za duniani unapata,umri nao umeganda kukua hukui basi mambo poa waache wapige majungu wakichoka vitanda wanavyo wakalale..

    ReplyDelete
    Replies
    1. ukweli wa jambo lolote ajuae ni mhusika mwenyewe, mara nyingi watu huzua mambo kwa hisia zao na ni hasara kwao maana ukipenda kuchunguza ya watu JUA YAKO LAZIMA YATAKUDODEA TUUUU

      Delete
  2. Usisikilize maneno mamaaa wema,jua kwamba mti wenye matunda ndio unapigwa mawe,sasa ulifikiri nani apigwe mawe sisi miti mikavu?ila sasa nawe umri unaenda tunataka tuone mtoto sasa mzalie domo sasa mama

    ReplyDelete

Top Post Ad