Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Sugu amwagana na Mke wake…Mwanamke Afunguka Mazito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu …

Kupiia Instagram, Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sababu za kuachana nini?unalia unalia,toa maelezo ya kutosha kwa hao unao waasa,kwamba sugu kanifumania au vipi?

    ReplyDelete
  2. Pole mwaya pambana namaishayako na mwanao.shukuru mungu kila likuepukalo Lina kheri nawe

    ReplyDelete
  3. Kwenye ndoa kuna mambo mengi,kuna ya kuvumilia,na mengine huwezi
    kuvumila hataiwe vipi. Pole sana,mtangulize Mungu ndiye muweza wa yote.

    ReplyDelete
  4. unawatangazia watu ili iweje au unataka kumaliza mheshimiwa kisaisa?

    ReplyDelete
  5. Malizeni tofauti zenu muendelee na maisha,vinginevyo mtamaliza mabucha nyama ni ileile.

    ReplyDelete
  6. Mwendakwao siku zote haogop giza acheni arudi kwao ndoa imemshinda kama mahal atarudisha kwel mwanamume BWEGE ATAIVUNJA NDOA YAKE KWA AKILI YAKE MWENYEWE, kumbe hata ktk familia zenu maandamano yapo na mmeshindwa kuyapatia ufumbuz? malizen kwanza matatizo ya familia zenu ndipo mtatue na ya kwet

    ReplyDelete
  7. acheni uongo nani kawambia wameachanaaaaa muulize kwanza

    ReplyDelete
  8. unalilia ukimwi we mwanamke!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad