Wema Sepetu:Wanaoniponda Wengi Wao Wanatumia Tecno na Huawei

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hali iliyoshangaza wengi,beautiful oninye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don't have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kumponda, akichezesha taya na Ephraim Kibonde katika kipindi cha jahazi amesema watu hao hawampi shida hata kidogo kwani wamepigika na yupo juu zaidi yao.

My Take:Hivi Sister wema hizo simu ulizozidharau unazijua vizuri kweli? Hivi unaweza ku-compare features za Huawei Ascend P7/Tecno H7 na Samsung Gallaxy S4?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

49 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Asante Madame,tena hata mimi natumia Huawei kukuponda na sikomi ng'o kukushambulia,kwa sababu huna heshima kwa jamii,unatia kinyaaaaa.
    kumbe ujumbe kwamba watu wanakuponda unapata eeeeh?nilikuwa sijui na ungekaa kimya ningejiuliza na pengine kuacha kukuponda maana nisingejua kama uko vipi.Hivi ni UTOTO na kwamba ukikua utaacha au ni ujinga na ulimbukeni?

    ReplyDelete
  2. Kalogwa na Domo

    ReplyDelete
  3. Nakuonea hurumaaa Madame,umeamini ya watu kwamba Domo alikuwa anakupotezea muda?au bado uamini?

    ReplyDelete
  4. kubwa jinga likikua litaacha,au domo ikilipiga chini litajua Huawei na Techno simu.

    ReplyDelete
  5. jaman nicheke mieeeeeee mbavu zanguuuuuuuuuuuu?Jaman madam usipende kudhalau watu aipendezi kabisaaaaaaa.

    ReplyDelete
  6. domo ni kuma tuu hana mana kwanza kafika hapo kwa sababu ya madam wema alikua hata kusema goomorning hawezi..na sasa madam hataki tenaaaaaaaaaaaaaaa.........subirini coulpe ya kimataifa dogo aslay na madam yani domo hamna kitu kwanza hata haendani na wema angalau aslay anaonekana mwanaume kabisa hata kwa kumwangalia huyu domo ufreemason umemsaidia sasa asubili bendela ya aslay inapanda tanzania..atakoma huyo domo wenu sura mbaya

    ReplyDelete
  7. Domo Ungekuwa sio star Na PESA Haki ya nani mpaka sasa hivi ungekuwa Bikira ,ngoja ufifie Kama mr nice ndo utajuwa wanawake walikuwa wanakupenda Kama ulivyo au?

    ReplyDelete
  8. hana mana huyo domo alivyombaya mmh hata wema kafumba macho kwa ajiri ya vipesa anavyopewa kwanza nasikia hata pesa anapesa laki 3 kila akiomba laki 3 hana mana amemzeesha wema hata hawaki kama wakat wa ck.laki 3 nayo pesa hiyo jaman kwa mjini sio pesa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani hata kama anampa laki moja Wema zinamtosha na anaridhika kwa kuwa anapewa na Diamond,Kikubwa ni apate mapenzi toka kwa Daimond,woooooooo! sijui kalogwa.

      Delete
    2. Ubahili wa Domo ndio umemkimbiza Penny.
      kweli kigomaaaa! sio ndio wanasema waha mabahili jamani?

      Delete
  9. Diamond kalikoroga lazima alinywe lingali la moto!

    ReplyDelete
  10. haijalishi kama wema na diamond wamemwagana ama vipi. wema wewe ni binti mwenye bahati na very blessed. unaweza endesha maisha yako bila kuegemea mgongo wa mtu yeyote. najua kupenda ni kubaya but kita miguu chini, lia, maliza, angalia mbele!. fanya biashara yoyote halali utatusua mara mia ya diamond, hilo liko wazi!

    ReplyDelete
  11. wema kumbuka ni watu wangapi hapa bongo wanakupenda na hawakujui! hiyo ni alama kuwa una nyota inayong'aa mno. diamond akafie mbele na yeyote anayetaka ila kamwe asikuyumbishe ukasahau who u are. we love u mno wema wetu. diamond tunataka kuona utafika wapi this time

    ReplyDelete
  12. waambie wema,hasa wenye huawei ndo viherehere ka,a nini,utavikuta kila mahali bize kuscrol,zinalipukaga hizo ohooo!!!!!!!

    ReplyDelete
  13. wema ni mzuri tu hata mkimchafua,nyie wenyewe hamna majina ila tabia zenu ni shiiida!mtaishia kutukana kama mnaweza tupen hivyo vimchina vyenu cjui huawei,sijui tecno eti panton/fantom

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema mzuri? hujawaona kina Wolper, Uwoya, Lulu, Odama, Jack Ntuyabaliwe, Nancy, Brigita (Miss Tanzania) na wengine wengi tu. Yani anaweza kushika namba 100 kama ukitaka kuwapanga warembo walioko bongo. Tabia chafu chafu tu 'kinyaa'.

      Delete
  14. Mkundu kunuka weee, kuma kibuyu unafirwa na domo. Unmebaki jina tu malaya weeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  15. MDAU HAPO JUU UMENICHEKESHAAAA ETI DOMO INGEKUWA SIO JINA LA VIJISENTI ANGEKUWA BIKIRA MPAKA SASA HIVI(BIKIRA MEANS MTU AMBAE AJAWAHI TENDA TENDO LA NDOA)NIMECHEKAAAAAAA,WEMA ACHANA NA HUYO KIMA HAKI YA NANI ANAKUPOTEZEA MUDA TU,I SWEARRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR!!!!!.UTASHANGAA ANAWEKA NDANI MWANAMKE MWINGINE MCHANA KWEUPEEEEEEEEEEEEE,UMEMUACHA CLEMENT ALIYEKUWA ANAKUPA MANUFAA,KAMA CLEMENT ALIKUWA AKUTOMBI VIZURI SI UNGENUNUA NECK MASSAGER KWA MANGE???

    ReplyDelete
  16. ITS ONLY JOKETI AMBAYE ALIBAHATIKA AKAPEWA MIL 10 CASH KUNUNUA GARI,WENGINE MTAISHIA LAKI 3.

    ReplyDelete
  17. mimi si mchambaji ila nimemchamba Domo umu kwakuwa anadhalilisha wanawake na mimi pia ni mwanamke.

    ReplyDelete
  18. Wote hao mnao toa comments za matusi ni watu ambao hamna maadili na malezi bora. Wivu ndo unawasumbua na kama kuna mtu angeweza kufika mliko mnaishi mashenzini muacheni mtoto wa watu nyie kwani mlivyoumbwa mmekamilika au hamjui mapungufu yenu. Na isitoshe ni watu ambao hamna dira.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndiwooooooooooooooooooooooooooooo DOMO LIBAYAAAA SURA YAKE WATU WANALIPENDEA UMAARUFU NA VIJISENTI VYAKE.LINAPENDA KUDHALILISHA WANAWAKE,NA UKIFILISIKA HAKUNA HATA WA KUKUPA HABARI YA ASUBUHI ,UNGEKUWA HANDSOME TUNGEKOMAAAAAAAAAAAAA

      Delete
  19. BREAKING NEWSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS,SASA HIVI NI MENINA NA DOMO SIO WEMA NA DOMO.

    ReplyDelete
  20. Amechanganyikiwa dada wa watu mwacheni,hajui hata shabiki wake wanatumia hizo simu!!

    ReplyDelete
  21. Aiseeee mabingwa wa kukoment em wekeni na picha zenu tumuoneshe domo uzuri wenu...hili agundue kuwa ye mbaya...

    ReplyDelete
  22. Jamani diamond mchafuuuuuuuuu kamaliza wanawake woooite dar Na bado wanawake wanajipeleka bila ya kupima ngoma.Argggggghhhhhh disgusting.Bora nife Na dhiki zangu.Wadada warembooo wanajitosa na wala hawajali kupima afya,

    ReplyDelete
  23. careful na maneno na product za watu.....sio ufahari kutumia simu ya ghali ilihali walala nje na unamikopo kede kede.....simu kazi yake ni mawasiliano na sio zaidi!! iwe ya aina gani bora mtumiaji aridhike.... Kujionyesha kuna Madhara makubwa sana....ila fainali Uzee!! uso na mwili kuanza kujikunja kwa muscles itaumbua urembo!!! be normal na maintain status kwa kuongea maneno yenye sukari na hekima....smartness sio nguo au uso wa vipodozi bali usemayo!!

    ReplyDelete
  24. yani domo l hate him to death yani anamfanya wema wa watu ndondocha jaman eeh?????????????????akishuka anakimbbia kwa wema akipanda anaokota wanawake wengne lkn wema kwa nini usiachane na huyu mbwa kwanza ana sura mbaya mbaya mbaya mapakbasi ...kwa nini usikae na mwanaume mwingne ukaeshimika mjin na watu wanakutukana wema kwa sababu ya domo anakuyumbisha pesa zenyewe hakupatii unatumika tuu anatumia jina lako mama anagalia amkaa husikii wewe wema sikio la kufa mama amka bas unatukera mashabiki wako mwache akatangetange huko na kina menina wewe kaa pemben na utulie sasa tafta pesa kwa jina lako jina lako ni kubwa sana tanzania utafikir waziri wa tanzania kwa nini usitumie nafasi hii wema wewe binti gan huelewi hata mashabiki wanaokusaidia mawazo...........achana na naseeb sura mbaya

    ReplyDelete
  25. Wema achana na maisha ya anasa,tulia kwa Mungu wako,fanya kazi zako na IN'SHAALLAH MUNGU atakupatia mafanikio makubwa pamoja na yule
    (Mwanaume) atakaye kuwa sahihi maishani mwako.

    ReplyDelete
  26. Akili boga kweli wee Wema mwanamke mwenzetu,Mimi natumia Huawei lakini sipangi nyumba ya mtu kwa maana nina nyumba yangu ya jasho langu,na wewe unaetumia simu ya bei mbaya wakati unapanga nyumba laki 9 ( na sijui kwa sasa utakuwa umepandishiwa bei kwa hayo majisifu yako ) kwa mwezi,niambie nani bora?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bora yako wewe mwaya unaishi kwako kijichi na Rav 4 yako.

      Delete
  27. alipo mfanyiya tashtiti penny kuwa akipiga sim anajuwa yupo ni diamond na filamu walikuwa wana record wema na diamond mwenyizi mungu hapendi sasa karudishiwa yeye mwenyewe anabaki kutukana watumiya sim rahisi yeye katumiya ya ghali ameishiya wapi mnabaki kumlaumu diad na kosa ni la wema nyiye mnamtukana diamond kukosa kumuowa wema mweye mnaweza kuchukuwa kicheche uyo

    ReplyDelete
  28. DIAMOND SIO MWANAUME WA KUOA MANA ATAZAA WATOTO KAMA MBWA MWITU ..HEHEHEEEEE...YANI DIAMOND NAE WA KULILIA JAMAN WEMA UMEKOSA PA KWENDA AMA?????????ANAPENDEKA KWA JINA LAKE NA PESA BILA HIVYO SIDHAN KAMA ANGELIKUJA KUITWA BBY HAPA DUNIANI

    ReplyDelete
  29. Hivi simu za bei mbaya sijui I phone 6 plus,za nini???????hizo hela mnazopoteza kununua simu si mngezipeleka kwa mayatima mkapata HISABU kwa Molla wetu.???

    ReplyDelete
  30. Mimi niko nje ya bongo Na Nina pounds za kutosha tu lakini hayo masimu yenu ya bei mbaya sinunui,Huku I phone 6 plus(used one) ni £780 tu,lakini walaaaa mshipa Wa K**a aunichezi ninunue,hiyo hela bora ninunue cement,Nyie uko bongo mnapapalika Na matoleo Mapya kwakuwa MNa mabwana serikalini,wauza unga,wezi,wanawanunulia kiulainiii.Huku ulaya 60% tunapata hela kupitia mikono yetu Na sio kupitia K**a zetu ndo maana hela zetu tunazipigia mahesabu ya kufanya ya maana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eeeh mwaya, 60% kwa kazi ya kuchamba mavi vizee inauma kununulia simu ya bei mbaya,ikipotea je si unalia mpaka basi,bora ununue bati au cement,bongo kwenyewe kuja mara moja kwa miaka 3 kisa unadunduliza nauli,
      hahahahaha,Hallah!

      Delete
    2. hahahahaha uwiiiiiiiiiiii.Yote maisha.
      nje,nje,ulaya ulaya, inahusu!

      Delete
    3. Si bora wanunue cement na bati kweli,wengine wana miaka chungu nzima huko ulaya hata kiwanja hana na hajui kinauzwaje bongo.Alaaaaaaaaa!Pumbavuuuuuuuuuuu!

      Delete
  31. Bora mie ninaechamba mavi kuliko wewe kutegemea wakufilimbeeeee ndo upewe hela ya kununua simu,what a waste!!!! lol!

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAHAHAHHA KWENDRAAAAAAAAAAAAAAA HATA SISI TUNATAFUTA PESA KEA JASHO LETU

      Delete
  32. UNA MAANA GANI WEWE HAPO JUU any.1.05?SIO WOTE WANAOSHIKA SIMU I PHONE 6 WANAPEWA NA MABWANA,HATA BONGO WAKO WANAOPATA HELA KUPITIA MAJASHO YAO NA WANAFANYA MAMBO YA MAANA BILA MABWANA,WALA UNGA.
    JIFUNZE KUANDIKA .SHETANI WEWE.

    ReplyDelete
  33. Hata mimi any.1.05 amenikwaza kwa kuwa ni mwanamke,anaposema nyie huko bongo ina maana katujumlisha wote na sio mlengwa tu,Asamehewe bure

    ReplyDelete
  34. tatizo kakariri hajaelewa eti tecno na huawei kuna tecno na huawei amba kali zaid ya samsung unaongea nn ww tena sijawah kukuponda sasa ivi ndo naanza rasmi... umebonyeza button sio miguu ka stok za baskel!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaha,eti kaingia choo cha wafungwa wa kiume watamlambaje?

      Delete
  35. kwani we wema ulianza kutumia nini kama c huawei na tekno, wanakusema ubadilik
    e ndg habari za kuwekwa kwenye mitandao na magazeti kila cku co dili badilika we bibi

    ReplyDelete
  36. anonymous 4:20 usimuite wema bibi bado mdogo unajilinganisha nae wewe?

    ReplyDelete
  37. AnonymousSeptember 26, 2014 at 1:25 PM

    Wema mzuri? hujawaona kina Wolper, Uwoya, Lulu, Odama, Jack Ntuyabaliwe, Nancy, Brigita (Miss Tanzania) na wengine wengi tu. Yani anaweza kushika namba 100 kama ukitaka kuwapanga warembo walioko bongo. Tabia chafu chafu tu 'kinyaa'.

    ReplyDelete
  38. WEMA KWA NINI WEWE TU JAMANI?NENDA BASI SHULE MDOGO WANGU LABDA UTABADILIKA,

    ReplyDelete

Top Post Ad