AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Juzi ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mrembo Wema Sepetu, Kitu kilichovuta Hisia za Watu wengi ni zawadi ya Gari aliyopewa Wema Sepetu kutoka kwa Mpenzi wake Diamond Platnumz...Inasemekana huko mjini wadada wamechachamaa hawataki tena zawadi mchwara za maua , visimu ama saaa siku za sikukuu zao za kuzaliwa nao wanataka magari nao kutoka kwa Maboifriend zao.
Hili ni Tamko la Umoja huo wa Magelofurendi :
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
UJINGA
ReplyDeleteHahahaaaa
ReplyDeleteMdau 9:50,ujinga?unavomlala mbna husemi ujinga??????
ReplyDeleteimeandikwa kwenye biblia mtakula kwa jasho kudadeki accept it