Mchungaji Aliyewalisha Waumini Majani Aja na Mpya..Sasa Awaponya Wagonjwa kwa Kuwakanyaga Kanyaga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple , Sasa eti anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa kwa kuwakanyaga migongoni...Angali Picha Hapo Juu
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata kama ni kanisa lakini linakiuka maadili/haki kwa binadamu.
    Serikali iko wapi?inabidi iingilie na kuchunguza ukizingatia mchungaji mwenyewe sio Mtanzania.

    ReplyDelete
  2. Kweli wajinga ndio waliwao.

    ReplyDelete
  3. Wala sio hapa Tanzania wee anon wa kwanza haya yote yanayojili ya mchungaji huyu ni huko South Africa kwao, yapo kwenye you tube na lugha wnayongea ni ya huko huko South kwao sio Tanzania, Tanzania kila mtu anaongea kiswahili ndio utaona kumbe sio hapa. ila ni bara hili hili la Africa

    ReplyDelete
  4. makafiri mpoo,tehe baada ya kula majani,petrol,sasa ni kukanyagwa tu...subirini kulishwa mavi sabab nyie ni vipofu,viziwi na mabubu.

    ReplyDelete
  5. shindwa kwa jina la yesuuu...kafiri ni mtu asiyeamini katika yesu kristo

    ReplyDelete

Top Post Ad