AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ieleweke kwamba kipindi hiki huwa ni cha neema kwa wasanii nyumbani ambao wengine hufikia kuomba angalau tu wapate fursa japo tu ya kupanda jukwaani kuonana na mashabiki.
Diamond kwa kipindi kirefu sasa amekuwa ni msanii wa Tanzania mwenye show nyingi sana nje ya nchi kiasi kwamba imeshindikana kumbakisha hapa nyumbani kushiriki show za hapa.
Pamoja na upizani mkubwa mno naoupata kijana ameendelea kukomaa na kujenga heshima hata kwa wale ambao bado walikuwa wabishi kumkubali Diamond.
Tunachoweza kusema kwa sasa ni kumtakia mafanikio mema na aendelee kufanya haya mapinduzi makubwa kabisa kimuziki wa Tanzania. Keep it up Diamond.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hao jamaa wa clouds ni wanyonyaji wa zaidi ya mdudu kupe so Diamond amejitambua hawamuwezi tena kama walivyowashindwa wakina JD na prof J......waendelee kuwanyonya hao hao wasanii wadogo wasiojua thamani yao
ReplyDeleteleo adminn umeandika point keep it up. siwez kuongelea hao clouds ila kiukwelin diamond ni msanii anaetambua thamani yake ata kazi zake nzuri hivyo ni gharama kumpata tofauti na hao wengine mpaka inafika mahali msanii unaomba upewe nafasi upande jukwaani sasa unategemea bei ya kulipwa utapanga wewe au utapangiwa. ni lazima utakuwa na WEAK BARGAINIG POWER TU
ReplyDelete