Dada wa Diamond Esma Atoa Mipasho Kupitia Instagram Week Mbili tu Baada ya Kuolewa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dada wa Mwanamuziki Diamond Anayejiita Esma Plainum Ambae Ameolewa Hivi Karibuni na Petit Man Amepost Video Kwenye Instagram Page yake Huku Akitoa Mipasho ya Taarabu yenye Kuwananga Wanao Ona Wivu Juu Yake Kuolewa...Baadhi ya Maneno yanasikika Akiimba
'Mwaona Donge la Nini Kama Mnaweza Pandani Juu mkazibe'

Je Kunani Tena ? 

Jionee Mwenyewe Hapa:


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni sheeeeedaaah haya mnaokerwa cjui kina nani ujumbee huoooo pandeni juu mkazibe...kila kheri ndoa yenu idumu milele

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau,malimbukeni wa hivi ndoa hazidumu,utasikia tu.

      Delete
    2. So uliolewa kwa mapenzi au kuonyesha watu, kwnn hamjiamin, omba mungu aiongoze ndoa yk vinginevyo ushamba tuu

      Delete

Top Post Ad