Lemutuz Aanzisha Mission ya Kuwashughulikia Wanao Tukana Wengine Kupitia Mitandao ya Kijamii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa Kile Kinachoonekana ni Kukerwa na Watu wanao tumia Mitandao ya Kijamii Kama facebook na Instagram Kutukana Wengine Mzee Mzima Lemutuz Ameanzisha Misheni ya Kuwakomesha Wale wote Wenye Tabia Hizo Kwa kushirikiana na Polisi..

Hii Hapa Chini ni Message aliyopost Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram Leo:

"Good Morning Instagram leo ninarudi tena Polisi Makao Makuu kuendelea na this thing wanyonge wanatukanwa sana kwenye mitandao WHY? Ina maana Serikali ya Tanzania haipo mitandaoni? Wananchi wanaoishi kwa hofu ya kutukwanwa kwenye Mitandao yao wenyewe katika nchi yao wenyewe wataenda kupiga kura kweli? Je wataiamini Serikali yao? Mbona wakitukanwa viongozi Serikali inaonekana mitndaoni ni maswali yanayohitaji majibu ya haraka sana toka kwa Serikali yetu! Kama una tatizo na my mission ichukie my MESSAGE sio mimi cause nawasaidia tu WANYONGE! Na it is ok na my God "- Le Mutuz
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Akwende zake ye mwenyewe kutwa kutukana watu na kudhalilisha watu kuanzia kwenye blog yake mpka instagram, how come he call people mbulula huyu kubwa jinga? na ingekuwa watoto wa wakubwa woote wana act kama yeye sijui inchi ingekuwaje wallahi.
    mdau google

    ReplyDelete
  2. Wewe umeacha kutukana mitandaoni?

    ReplyDelete

Top Post Ad