Dimond Kupiga Shoo ya Bei Ghali zaidi Kuwahi Kutokea Katika Historia ya Muziki wa Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika kile kinachoonyesha kwa wasanii wa bongo kuanza kujitambua na kutumia brand zao vizuri katika kujipatia kipato, Msanii kinara katika muziki wa Tanzania ambaye haishi kutajwa katika vinywa vya watanzania "Dimond platnumz" atapiga shoo ya bei ghali zaidi kuwahi kutokea(msaniiwa ndani) tangia Tanzania iumbwe maeneo ya Mlimani city.

Imefahamika kuwa wahuni wa zomeazomea waliotamba maeneo ya pale leaders hawatoweza kuhudhuria kwa kuwa bosi wao aliyewakodisha atashindwa kulipa viingilio ambavyo ni kati ya 50000 mpaka 70000 per kichwa.

Kitendo cha Dimond kupiga shoo za bei ghali kimewaamsha wasanii wengine ambao walikuwa hawatambui ukubwa wa brand zao hivyo basi na wao kuanza kudai hela nyingi katika shoo wanazopiga, ikumbukwe katika tamasha la Fiesta lililofanyika mwaka huu Dimond alipiga shoo mbili tu kutokana na mahitaji yake makubwa ya mtonyo katika shoo zake.

Dimond amebadilisha mfumo wa kinyonyaji uliokuwepo katika muziki wa Tanzania na sasa tunaona kumbe msanii wa Tanzania anaweza kutoa video nzuri, kumbe msanii wa Tanzania anaweza kujaza ukumbi kwa malipo ya shilingi 50000 kwa kichwa na yeye kunufaika na kazi zake.

Kabla ya Dimond walikuwepo wengi ila walikuwa hawafaidiki na kazi zao , kama Tanzania tukiwapata wakina Dimond hata wanne basi tasnia yetu itafika mbali, tuacheni majungu na wivu kwa shujaa wa muziki wetu ila tutengeneze mazingira mazuri ya kuwapata watu wengine kama Dimond.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nani kaona kiwango anacholipwa? Waandishi wa habari mpo kwa ajili ya kumpaisha mtu hasa mkimpenda na mpo kwa ajili ya kumshusha mtu hasa mki mchukia, well hata kama analipwa kiwango kikubwa fine, nani ana ushahidi na hilo wekeni cheki zake kwa maandishi tuone sio maneno tu.Hongera zake kama analipwa hela hizo ni kwa faida yake na watu wanao mzunguka kumbuka hata vidole vyake havi lingani,sio hatari sio kila msanii atalipwapesa sawa na Diomond,,, ila waandishi wa habari punguzeni longolongo mna keraaaaaaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we ni msenge tu ndo nyie nyie wenye majungu kila uchao hamtaki maendeleo ya wanamuziki eti uwekewe cheki ya mapato yake ili iweje.matako yako

      Delete
  2. big up kwa diamond wasiopenda safarii hii watajibeba mbona

    ReplyDelete
  3. Alieandika hii habari ni mkumbavu...dimond ndie nani huyo,!? Kama washindwa kuandika Diamond vizuri basi thamani ya habari ni ya upuuzi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe nawe???? Unaanza kukosoa kwa kuandika '' Mkumbavu''

      Delete
    2. TEH TEH TEH! NYANI HAONI KUNDULE

      Delete
  4. Utafi ***wa wewe admin, nahisi utakuwa shoga wewe si bure unataka uguse hilo body la mondi,ila hata kiba analo ila hana mambo ya kis**eng*e kama huyo shoga mwenzenu...balance story zako ushapata audience usije poteza...mazafantaaaz wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad