Taarifa zaidi Kuhusu Naibu Waziri Kurushiana Risasi na Mtoto Wake..Mtoto Afunguka Kilichotokea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Taarifa zilizoenea mitandaoni saa chache zilizopita, zinahusiana na tukio la kurushiana risasi baina ya aliyekuwa Naibu Waziri wa zamani wa Afya na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Dk. Lucy Nkya na mtoto wake ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Morogoro Jonas Nkya.

Tukio hilo ambalo limetokea leo Morogoro baina ya wanafamilia hao, limehusishwa na ugomvi wa kifamilia jambo ambalo limeamsha hisia tofauti.
Akizungumza na waandishi wa habari Morogoro, Jonas Nkya amekanusha taarifa za kurushiana risasi na kueleza kuwa tukio hilo ni tukio la bahati mbaya baada ya bunduki yake kudondoka na kupelekea risasi mbili kufyatuka.
Akizungumzia kuhusu tukio hilo, Jonas amesema, “.. silaha inakaa kiunoni, nakwenda kwenye gari nashuka pale ofisini pisto hii imeanguka imejipiga risasi mbili nje ya ofisi. Sasa nadhani majirani wakaogopa sijui mi sielewi, lakini kuna watu wanaishi pale. Sasa ndio ikafika hapo wakaja Polisi of course na nini.. tumejaribu kuwaeleza.. ndio hicho kilichotokea. Lakini mimi sijui.. wala sikujua kama mama yangu yuko ndani kwa sababu pale ofisini nimekwenda kufuata gari .”–Jonas
“.. Na ndio maana nasema kama mkipata muda na nyie mnaweza kwenda kumuuliza yule mama je tumegombana.. je kuna kitu kama hicho.. hiyo ndio habari iko hivyo.. hakuna ukweli kwenye hilo..”–Jonas
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. He! Makubwa, je kungekuwa na watu wanapita wakati hiyo PISTO inatema hayo mawe ungeenda kwenye vyombo vya habari kunadi! Jamani hata kama ndio UHESHIMIWA kuweni makini na utunzaji wa vitu kama hivyo!

    ReplyDelete
  2. Mweee hilo liumbo sasa kama lemutuz. Fanyeni mazoezi jamani khaa. Ila jonas malaya wewe unajua kuwapanga mabinti wenye tamaa

    ReplyDelete
  3. SILAHA YA NINI TZ KUTEMBEA NAYO KAMA TUKO SOWETO

    ReplyDelete

Top Post Ad