Huyu Binti Nimempata Mwezi wa Tatu Sasa Hajaniomba Hela Nimueleweje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna binti mmoja umri miaka 23 sasa ni miezi mitatu tangu nimtokee cha kushangaza hajaniomba hata mia tano ya vocha na ni mwanafunzi sasa nimueleweje maana kwangu imekuwa kama muujiza, hao wanaofanya kazi tu tayari ni makamanda wa kikosi cha mizinga siku mbili tu ukiwa nae tayari atakuangushia jumba bovu

Binti ni mrembo sana na inaonekana anatoka familia ya kawaida sana ..Je Niwekeze hapa Kimoja naona dalili ya Mke mwema..Au bado naliliwa Timing?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpe uone uone kama atakaa wengine wamelelewa kimaadili au anaona aibu kuomba siku akipata anayempa bila kumuomba atakukimbia we unatakiwa ujue mpz wako kuna vitu atavihitaji Kama msichana Kwa hiyo kumsaidia au kumuhudimia ni wakibu sio mpaka uombwe

    ReplyDelete
  2. Ushazowea kuchunwa Mjomba...Noma....

    ReplyDelete
  3. ATAKUWA SIO MGOGO HUYO, WEWE MPE UONE KAMA ATAKATAA COZ NI WAJIBU WAKO KUMLEA

    ReplyDelete
  4. ugogo umeingiaje hapa

    ReplyDelete
  5. acha ujinga wewe uko kwenye foleni waweza kua kama mtu wa tisa hivi kalaga baho

    ReplyDelete

Top Post Ad