AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Binti ni mrembo sana na inaonekana anatoka familia ya kawaida sana ..Je Niwekeze hapa Kimoja naona dalili ya Mke mwema..Au bado naliliwa Timing?
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Du
ReplyDeleteMpe uone uone kama atakaa wengine wamelelewa kimaadili au anaona aibu kuomba siku akipata anayempa bila kumuomba atakukimbia we unatakiwa ujue mpz wako kuna vitu atavihitaji Kama msichana Kwa hiyo kumsaidia au kumuhudimia ni wakibu sio mpaka uombwe
ReplyDeleteUshazowea kuchunwa Mjomba...Noma....
ReplyDeleteATAKUWA SIO MGOGO HUYO, WEWE MPE UONE KAMA ATAKATAA COZ NI WAJIBU WAKO KUMLEA
ReplyDeleteugogo umeingiaje hapa
ReplyDeleteacha ujinga wewe uko kwenye foleni waweza kua kama mtu wa tisa hivi kalaga baho
ReplyDelete