Jay Dee na Gadner Wavunja Mkataba wa Kuendesha Nyumbani Lounge Sasa yamilikiwa na Mzungu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna Tetesi Hapa mjini kuwa ule Mgahawa Maarufu wa Nyumbani Lounge uliokuwa ukimilikiwa na Lady Jay Dee na Mumewe Gadner sio wao tena Baada ya Kuvunja Mkataba wa Kuuendesha.
Inasemekana hali imefikia hivyo kutoka na kutoelewana katika ndoa yao ambayo kuna tetesi kuwa imevunjika.
Mgahawa huo sasa utakuwa unamilikiwa na mzungu na pia siku si nyingi utabadilishwa jina.
So sad Jamani ..ndoa inaondoka na Mengi.
Quote
“Letting go means to come to the realization that some people are a part of your history, but not a part of your destiny.” 


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WALIKATAA KAMA HAWAJAACHANA LAKINI WAPI ! UKWELI UNABAKI PALEPALE WAMEACHANA , DU NDOA NGUMU JAMANI WENGINE WAMOLEWA MARA 4, 5 NA BADO MPAKA SASA WAMEACHIKA TENA . NASIKITIKA KWANI WALIPENDANA SANA, OK LAKINI HATA HUYO G ALIKUWA MUME WA MTU

    ReplyDelete
  2. Hiyo safi sio mna achana mbazalilishana kwenye vyombo vys habari pigeni kimya hivyohivyo walimwengu tubaki tuna hisi.

    ReplyDelete
  3. Hii inathibitisha ule msemo,ukimtoa mwanamke mwenzio ndani hatanawe yatakukuta kwa njia yoyote.pole jide mganga mungu tu.muombe yeye songa mbele ilamungu wetu mkali hachanganywi.ukiamua kumfata yeye ni yeye tu,ukiamua ndumba kapige ndumba.ukichanganya kitakuwakia tuuu mpaka ushangae

    ReplyDelete
  4. daah.g.ulimuacha ida wa watu mwanza kwa hiyo jide kaza buti mwenziyo pia aliumia ulipompokonya mme

    ReplyDelete

Top Post Ad