Jennifer Lopez Aonyesha Mwili Wake Akiwa Ndani ya Bikini..Miaka 45 Lakini Bado Chuma Mbichi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki Jennifer Lopez Ameshare Picha Kwenye Instagram Profile yake Ambayo Inamuonyesha Akiwa Ndani ya Bikini akiwa na Umri wa Miaka 45 Sasa....

Changamoto kwa Mabinti..Hapa Bongo wengi Wakifisha 30 tu tayari Uzee na Minyama Uzembe...Chakua Hatua wacha Chips Kuku na Mibia ya Offer...Kidding lol
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Angekuwa ni msanii wa bongo movie amepiga picha ya hivyo na kuitupia mtandaoni bila shaka title yako ingeanza ana maneno "LAANA MSANII MWINGINE APIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZIANIKA MTANDAONI" Ila kwa kuwa ni Lopez umemgeuza kuwa role model. Udaku bana...

    ReplyDelete
  2. kesha gongwa sana mama huyu, hana lolote!!!! bado mchina tu kumgonga.

    ReplyDelete

Top Post Ad