AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mfano mzuri ni pale mwanadada Shilole alipoamua kuweka wazi mahusiano yake na msanii mwenzake Nuhu Mziwanda, kuna baadhi walipokea vizuri na kuna baadhi walijitokeza waziwazi kupinga mahusiano hayo. Sababu kubwa ya wengi kupinga mahusiano hayo ni kutokana na kupishana kwa umri kwa wasanii hao, Shilole akiwa ni mkubwa zaidi kiumri kushinda Nuhu.
Ni mengi yameongelewa lakini inaonyesha ya kua Shilole amechoka maneno hayo na kwa sasa ameamua kufunguka rasmi kuhusu maneno haya.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Shilole aliandika
"Huyo nuh mnaosema ni mdogo kwangu! Kwani hajawaona wadogo wenzie mpka kanipenda mm?? Mtt mdogo angekuwa analilia mapenz ! Siangekuwa analilia ziwa kwa mama yake ! But ni mkubwa ndo maana kajua utam wa mwanamke ndo maana kaniganda! Wenywe tumeridhiana! Wivu tu unawasumbua nikiwa na mtu mzima mtasema lol shilole bwanaake babu nikiwa na kijiana mwenzangu oooh kitoto kidogo mnikome! Mnakuepogi chumban muona udogo wake???"
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK