Unaambiwa Davido Alivuta Dolla 40,000 Fiesta...'Loading..'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa mujibu wa MwanaFa akiwa kwenye kipindi Choice fm ni kuwa Davido alilipwa Dolla 40,000 kupiga show Fiesta.

Fa alihoji kwa nini waandaaji wasiwalipe dolla 10,000 wasanii wanne wa Bongo wapige show kali kuliko kuzipoteza kwa show mbovu ya Davido?

Je wadau wa Fiesta ni kweli kuwa show ya Davido haikuwa na thamani hiyo au ni kujikweza tu kwa Fa na wenzake?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni ulimbukeni tu wa watanzania kushindwa kuthamini vitu vyao na watu wao.na anaongoza kwa ulimbukeni huo ni Clouds FM! Nenda kaulize sehemu yeyote kama huyo Davido ana thamani hiyo as compared to local musicians ambao ni wazuri ila wanaganga njaa tu! Ila hata wasanii wetu wa ndani hawana negotiation skills wanajirahisisha rahisisha tu.kidogo naona dogo Diamond anajitahidi na ndo maana Clouds wanamuogopa na hata kutafuta namna ya kumuhujumu kwa namna yeyote.Wasanii wetu wanatakiwa kukaza buti na kujitambua ili kuwadhibiti wanyonyaji wa type ya Clouds FM

    ReplyDelete
  2. mwana FA huwezi kujifananisha na Davido ww hata siku moja. mtaendelea kulipwa kidogo siku zote sababu hamtaki kujipandisha bei wenyewe usilaumu clouds FM jilaumu mwenyewe. hebu tuambie ni wapi na lini ulipiga show nje ya maana au tuambie collabo gani ya maana ulishafanya nje na msanii mkubwa ili na ww ukuze jina lako. mnaongea sana kila siku maneno tu fanyeni kazi muone kama hamtalipwa vizuri. Diamond analipwa vizuri sababu amejipandisha juu mwenyewe na hata akidai ada kubwa ni sawa anaitwa kufanya show na wazungu wanaingia kumuona, anaperform big brother, nominated BET, MAMA awards, anaongea na vyombo vikubwa vya habari kiufupi anajiuza. sasa angekalia maneno yenu hayo mngekuwa wote mpaka leo. Davido halipwi elfu 40 dola kwa show tu bali hata appearance yake tu ndo mana Kim Kardashian alilipwa hela kibao kuonekana tu huko Nigeria so brand yourself kijana. wewe unaenda kupiga show huku umeweka CD kukupa backup unategemea ulipwe dola elfu 10. fanya kazi kwanza ndo ulipwe sio unataka ulipwe ndo uonyeshe unavyojua kupiga show kuweni makini let the work do the talking.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duuuh mdau umemaliza yani,bora uwaambie tu maana wengine wanamsema Diamond sana mara ndumba mara ooooh vicngizio kibao,fanya kazi

      Delete

Top Post Ad