Utata kati ya Clouds Fm na Times FM Kuhusu Mwamamuziki Davido Kufanya Show Fiesta Leo Usiku

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo Asubuhu kuna taarifa zimesambazwa na Times Fm kuwa Davido amezuiwa na mahakama ya Kisutu Kufanya Show ya Leo ndani ya Fiesta kwa kile walichosema kuwa tayari wao Times FM wanamkataba nae wa kuja kufanya show mwezi wa kumi na moja..Lakini wakati huo huo leo mchana uongozi wa Clouds FM kupitia Prime Times Wamewatambulisha wanamuziki watakao imba leo kwenye Show hiyo akiwemo na Davido kama unavyoona hapo kwenye picha...

Je nini Kinaendelea kati ya Radio Hizi Mbili ?
Na Je Davido Ataimba Kweli ama Amewekwa hapo kama Picha Tu ?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad