Video:Diamond Platnumz Azidi kuwa Prove Wrong Team Ali Kiba..Ona Shangwe Alilopata Coco Beach Jana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuhofia buu buu alizopata wakati wa fiesta na kufanya shoo ya kwa muda wa lisaa limoja na nusu kwenye viwanja vya Coco Beach.

Na muda wake wa kuondoka ulipofika ikabidi nguvu ya ziada itumike kuondoa mashabiki waliozingira gari lake kwa muda kadhaa wakitaka japo kumuona kijana huyo. 

Big up kwake kwa kuonesha kutovunjika moyo na kupata confidence ya kumiliki jukwaa.

VIDEO:

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we admini acha kumfananisha huyu jamaa na Kiba, kila mtu anaswaga zake na kila mmoja ni bora!!! na diamond hakuzomewa na washabiki wa Kiba, ila amezomewa sababu ya ubishoo wake!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huna lolote @12:16pm

      Delete
    2. hana lolote nani? diamond? au wewe?

      Delete
  2. hahahaaa, shoo za bure watoto wa uswazi wamejaa hapo hauwezi fananisha na shoo wanaolipia watu, na yeye kabeba watoto wa tandare kuja kumshangilia

    ReplyDelete
  3. Adim go back to school, idiot!! Ali kiba na Diomond ni kama Simba na Yanga kila mtu na mashabiki wake.Usiwalinganishe mnapenda sana Bifuuuu nyie watu wa ma blog.

    ReplyDelete
  4. Hiyo fiesta si sawa na bure, acheni unazi wa nafsi Ali kiba atasubili sana kumfikia dangote, ukweli ndio huo hawaulize wakina yemi alade, davido na mafikizolo ndio wanajua Diamond ni nani kwenye nchi zao sio nyie maskini wa nafsi mnaemuonea donge kwa mafanikio yake, fyuuu

    ReplyDelete
  5. Si vyema na si sawa kuwagombanisha washabiki na watanzania kwa migawanyo ya kimuziki, muziki ambao utamaduni wake ni kufurahisha, kuburudisha na kuliwaza. Kwa nini watanzania kuwa na kinyongo kwa sababu ya hulka za kimitandao ya kijamii na ya kiuanadamu. Tuache hizo ndugu zangu, wote Ali an Diam wana michango yao kwenye tasnia ya muziki. Big up Alikiba! big up Diamond!

    ReplyDelete

Top Post Ad